Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

N bahati mbaya tupo Tanzania ya wanaopenda kulalamika ovyo, h taarifa waliotoa mara mbili, siku mbili kabla na siku moja kabla, hvy mtu angeweza kufanya miamala yake mapema.
Sio kila taarifa itakufikia kwa wakati kutokana na mazingira ya kazi, distance n.k
 
NMB

Kwa mara ya kwanza nimejikuta nalala njaa na pesa ninayo kisa tu niliiweka NMB, nilifanya muamala tar25 pesa ikatoka kwenye akaunti ila haikufika nilikotaka iende, tangu hapo kila nikipiga simu najibiwa inashughulikiwa leo imepita wiki nothing has been done, najiuliza hawa watu wanaoperqte katika kizazi kipi? mbona kama wako mwaka 1870 ilihali leo ni 2026 af eti wanasema "mafundi wetu" wanarekebisha mfu.o. Yaani mfumo wa benki urekebishwe siku tatu nzima, katika kizazi hiki? SERIOUS?
Kwa spidi ya maendeleo ya teknolojia kwenye hili wamezingua sana. Ndani ya mwezi wa 7 miamala mingi ilikuwa haikamiliki sijui kuna shida gani.
 
Wamenishangaza sana hawa jamaa, nilihama crdb kwa ujinga huu, jana ikabidi nitoke na sikuwa na ratiba hiyo, watu tunaishi bila cash siku hizi. Matengenezo gani zaidi ya 48hrs?
 
Nchi ya kisengerema sana hii, umeme shida, maji shida, mitandao ya simu shida, mifumo ya kibenki shida, haki shida, hospital shida.
Nchi imejaa umasikini mateso tabu rushwa zinaa ulevi mapenzi na magonjwa tu
Shida sana mkuu
 
Wamenishangaza sana hawa jamaa, nilihama crdb kwa ujinga huu, jana ikabidi nitoke na sikuwa na ratiba hiyo, watu tunaishi bila cash siku hizi. Matengenezo gani zaidi ya 48hrs?
NI vyema kufanya matengenezo ila huo muda wa zaidi ya saa 48 ni mwingi mno na ndio benki inayotegemewa zaidi maeneo mengi nchini.
 
N bahati mbaya tupo Tanzania ya wanaopenda kulalamika ovyo, h taarifa waliotoa mara mbili, siku mbili kabla na siku moja kabla, hvy mtu angeweza kufanya miamala yake mapema.
Ni bahati mbaya tupo Tanzania ya wanaopenda kupinga hata kitu wasichokijua;

Mi muamala nimefanya jumamosi tarehe 25 julai mpaka leo tar 2 agost muamala haujakamilika jana wameniambia muamala unaweza kukamilika tar3 agosti, je hilo tangazo unalolisema wewe lilitolewa tarehe 23 julai ili liendane na ujinga wako unaouleta kwenye hela za watu, acheni ujuaji wa kipumbavu mtu hela yake haionekani toka tar25 wewe unasema tangazo la siku mbili
 
Hii ishu yako inaendana na ya mada?
Sasa unaniambia mm niache upumbavu kwani mm ndo nmeshika pesa yako? 😂
 
Back
Top Bottom