Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,192
- 6,384
Ase hawa jamaa wanazingua kinoma.Naona App ya NMB imerudi, lakini hebu angalieni na nyie salio,siamini macho yangu😁😁😁.
Walikuwa wanafanya maboresho au kuiba pesa?
Wamekomba pesa zote kwenye akaunti.