Hili la kuweka vibao viwili Kwa Nchi Moja Tanzania na Zanzibar limekaaje?

hivi mkuu huyo bwana mayala n mwanasheria kbs hv ni kweli hajui katiba ya zanzibar inasema zanzibar ni nchi sa yeye anakataa kwa kutumia ktu gn sasa zaid ya ugari maana ukshakuwa mwanaccm huwa wanatoa akili na ubongo wanakuwekea upumbavu we yafatilie humu utayagundua tu.
 
Nchi haitokani na wewe mwenyewe kusema ni nchi. Zanzibar ilikuwa nchi na Tanganyika ilikuwa nchi. Lakini ziliacha kuwa nchi zilipoungana na Umoja wa Mataifa kuwa na Bendera moja inayo simamia hizi Tanganyika na Znz. Nimeisha kutumia viti sababu viti zinaweza kuweko 10 lakini sehemu ya Bendera kuwakilisha nchi Moja.
 
unavijua vigezo vya sehemu kuitwa nchi? Zanzibar wanavyo vyote kama ulikuwa hujui zanzibar wana bendera yao, wana wimbo wa taifa, wana katiba yao, wana rais wao, wana bunge lao, wana wimbo wao wa taifa, wana mahakama zao haya yote n nje ya mambo ya muungano haya swali vya tanganyka viko wapi? Ninasktika sn kwmb kuna majitu yapo humu jf naamin yamesoma bt hayajui haya sa huko vjijin sjui itakuaje au ndo mnajzma data mpo humu kutetea hata yasiyowezekana chawa bhana sa hapo umetetea nn we si jinga kbs wewe.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumjibu mtu mjinga, ni kichaa tu au mlevi anaweza kufanya hivyo.
 
Tatizo ni elimu ya uraia kuhusu huu Muungano wetu adhimu. Tangu tumeungana, hakujawahi kutolewa elimu ya uraia kuwafundisha Watanzania kuhusu Muungano.
P
 
Wapo busy na ubaya ubwela.
 
Hahahaaa hapo utasikia unataka kuharibu amani ya nchi! Nchi iliyojaliwa ni moja Tanzania , Zanzibar ni sehemu ya Tanzania kimataifa, kwani siyo nchi inayotambuliwa na UN. Huo ni wizi na ufujaji wa pesa za walipa kodi.
 
 

Attachments

  • 1725579530364.png
    172.4 KB · Views: 2
Jaribu tu kidogo kutufundisha leo kuhusu uhalali wa hilo bro
Mkuu Nsarigoko , tumefundisha sana humu kuhusu huu Muungano wetu adhimu na adimu, ila kwa vile kila siku jf wanajiunga wanachama wapya, na sisi tunapaswa kuendelea kufundisha kila uchao Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao? pia
karibu darasa langu la Muungano
-
P.
 
Tatizo ni elimu ya uraia kuhusu huu Muungano wetu adhimu. Tangu tumeungana, hakujawahi kutolewa elimu ya uraia kuwafundisha Watanzania kuhusu Muungano.
P
Unaamini kuna elimu ya uraia inayoweza kuuelezea au kuufafanua huu muungano wa "aina yake"? Kwanza, kuna mtu (Mtanzania) anayeuelewa huu muungano kiasi cha kuweza kuwaelimisha wengine pasipo shaka yoyote?
 
Unaamini kuna elimu ya uraia inayoweza kuuelezea au kuufafanua huu muungano wa "aina yake"? Kwanza, kuna mtu (Mtanzania) anayeuelewa huu muungano kiasi cha kuweza kuwaelimisha wengine pasipo shaka yoyote?
Mkuu Drifter Tupo watu kibao humu tunao uelewa vizuri sana kabisa huu Muungano wetu adhimu na adimu karibu
Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao? pia
karibu darasa langu la Muungano
-
P.
 
Sawa. Naiona kazi yako “nzito”. Mtihani uko kwa Watanzania “wa kawaida” kuipitia hiyo “maktaba” nzima ndipo wauelewe muungano wao adhimu. Inanikumbusha katuni ya Kipanya akielimishwa na Afande jinsi “Mo Dewji alivyopatikana” baada ya kutekwa!

Halafu Mkuu, ni kama vile huu muungano ni somo gumu sana (sijui kama quantum physics au molecular biology vile); inakuwaje? Wale watu wa 1964 waliwezaje kuuchangamkia hivyo hivyo ulivyo kirahisi rahisi tu? Leo sisi na ma PhD kibao tunasota kuuelewa?

Anyways. Tuendelee kupeana matumaini. Huenda hatimaye wengi watapata mwanga wa kuuelewa. Sasa hivi acha tubaki sisi wachache wenye “kuuelewa”.
 
Duh, duh, hii kali sasa,
Yaani dc wa mjini magharibi au wete anaweza kumvimbia mama?
Nafkiri unachangamsha baraza mkuu
 
Halafu Mkuu, ni kama vile huu muungano ni somo gumu sana (sijui kama quantum physics au molecular biology vile); inakuwaje? Wale watu wa 1964 waliwezaje kuuchangamkia hivyo hivyo ulivyo kirahisi rahisi tu? Leo sisi na ma PhD kibao tunasota kuuelewa?
Wakati tunaingia kwenye ule Muungano ile 1964, hakuna mtu yeyote aliyeulizwa, ila kwa upande wa Tanganyika Bunge la Tanganyika angalau lili ratify ule mkataba na kutunga sheria ya Muungano, lakini Zanzibar hakukufanyika ratification yoyote!, bali ni Rais Karume aliwaita wana Balozi na kuwaeleza tumeungana!. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?

Enzi za Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK, ilikuwa ni mwiko kuujadili Muungano, chuma kilipoingia , JPM akatoa onto la fyoko fyoko Chonde Chonde Ndugu zetu Wazanzibari, Msilete Fyoko Fyoko, Mtaumia bure! aliyeruhusu watu kuujadili Muungano ni huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Hivyo elimu ya Muungano is made very simple!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…