Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote.

Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure!

Swali ni kina nani hao ambao sheria ya bima ya afya kwa wote inawatenga huku wakitozwa tozo kwa ajili ya bima ya afya?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ccm wanang'ata kule na kupuliza huku
Ukiona hvyo ujue Kuna mawili yatatokea baada ya kurudi ikulu
1: Bima ya afya kushindwa kufanya kazi
2; maiti kuendelea kushikiliwa kama kawaida
 
Bima mkuu Ina maeneo Ina cover na mengine haihusik
 
Back
Top Bottom