Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

La msing n kujilinda na kuwalinda uwapendao, usitumie nguvu nyingii et mpk serikal iseme covid ipo, serikal ina msimamo wake, na haiyumbishwi na keyboard worriors, 😂
 
Mkuu,

Kwani kabla ya Maalim kusema anaumwa wewe ulikuwa unajua Tanzania hakuna Coronavirus?

Mbona watu wamejaa Aga Khan Hospital haina nafasi? Mbona watu kibao wanaugulia mtaani na kujipiga nyungu tu mpaka wanamaliza ngwe hii?

Yani serikali kuacha kutoa data ukaamini ugonjwa haupo Tanzania?
 
Unadigest nini boss, ww tengeneza mapambio tu ndio uwezo wako ulipo. Hayo ya kudigest waachie wenye uwezo huo.
Ahaaa. Ngoja niweke hifadhi maneno ya kukujibu. Jikite kwenye mada.
 
Unafahamu kuwa Covid 19 inashambulia zaidi watu wenye uwezo na kipato kikubwa?
 
Taaarifa siyo za kweli zimelenga kuleta taharuki kwa mujibu taarifa nilizopata
 
Aibu gani?
Hata waziri mkuu wa UK aliugua corona
Jifukizeni badala ya kusubiri lockdown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…