Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ina maana wewe ni mmoja kati ya wale 4 waliona ruhusa ya kusema Tanganyika kuna covid?Kuwa serious na maisha yako na ndugu zako watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wewe ni mmoja kati ya wale 4 waliona ruhusa ya kusema Tanganyika kuna covid?Kuwa serious na maisha yako na ndugu zako watanzania.
AiseeMtu kuugua ni aibu? Vipi kama ndio korona imeingia leo nchini kupitia kwa familia ya Maalim Seif?
Ngoja tuone!
92% ni za uongo.Unataka kusema kila taarifa za serikali ya JPM ni uongo?
Itifaki haiko hivyo.ACT wametoa taarifa za mwanachama wao, hiyo ikulu nayo itatoa kwa nafasi na wakati wake.
Ahaaa. Ngoja niweke hifadhi maneno ya kukujibu. Jikite kwenye mada.Unadigest nini boss, ww tengeneza mapambio tu ndio uwezo wako ulipo. Hayo ya kudigest waachie wenye uwezo huo.
Sio kweli.92% ni za uongo.
We dogo,maalim ni mwenyekiti wa Act wazalendo pia ni kiongozi wa serikali.ACT wametoa taarifa za mwanachama wao, hiyo ikulu nayo itatoa kwa nafasi na wakati wake.
Unafahamu kuwa Covid 19 inashambulia zaidi watu wenye uwezo na kipato kikubwa?Mnaleta siasa kwenye uhai wa watu kila siku. Tukiwaambia acheni utani linapokuja suala la maisha mnakumbatia vyama. Huyu mtu kwa vile yeye na familia yake wana uwezo wa kutibiwa popote kwa gharama yoyote kwa gharama za serikali, basi hajali maisha ya mwingine tofauti na watu wake.
Watanzania amkeni Corona ipo nchini tena kwa wingi, usipichukua hatua utaiacha familia yako kwenye mateso makubwa maana wengi tunategemewa na watoto, wake/waume na wazazi wetu.
Tumia akili kupambanua mambo.Ina maana wewe ni mmoja kati ya wale 4 waliona ruhusa ya kusema Tanganyika kuna covid?
Aibu gani?Hapo lazima dunia nzima itatushangaa na kutuona sisi ni watu wa ajabu kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia kwani ni juzi tu tulikuwa tunaibeza Chanjo ya corona kwa kutangaza kuwa tupo salama na hatuna Korona kabisa alafu leo Hii Makamu wa Rais anakutwa na virusi vya korona
. Ni aibu ya mwaka
Itifaki haiko hivyo.
We umezipata toka wapi?Taaarifa siyo za kweli zimelenga kuleta taharuki kwa mujibu taarifa nilizopata
We unaishi wapi?acheni kupanic .
We unaishi wapi?