Hili la maambukizi ya ajabu ya COVID-19 litapita na mtabaki mmeumbuka

Lazima jitu pumbavu kama wewe upanick. Mpe ujumbe wake Mbowe anaumbuka tena,na ndio maana alikosa ubunge.
Anaumbuka wapi? Lini? Ubunge upi alikosa? Tanzania hakunuwa na uchaguzi bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani na nyinyi wavuta Bangi mnashabikia haramu zao
 
Watetezi wa CCM mara baada ya kuvuta Bangi huja mitandaoni kusumbua watu ndiyo hutetea ujinga wote wa Serikali ya CCM bila Haya, wameshindwa hata kumshauri waziri wa Afya ahamasishe kinga kwa watanzania wamekalia kutetea maambukizi yaongezeke pasipo kujali afya za watanzania wenzao
 
Wewe ndiyo pumbavu kwa kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
Mwambie Mbowe amechemka,ndio maana alikosa ubunge. Mliobaki kumtetea na upuuzi wake ni wapuuzi hamna hoja za msingi.
 
Mwambie Mbowe amechemka,ndio maana alikosa ubunge. Mliobaki kumtetea na upuuzi wake ni wapuuzi hamna hoja za msingi.
Huna Akili timamu alafu wewe ni mpuuzi unawezaje kujua Hoja? Mpaka ukiacha kuvuta Bangi ndipo utazinduka na kujua kumbe wewe ni bado ni fala na hupaswi kuwa kioo cha kujitetea CCM mitandaoni kwani badala ya kuisaidia Serikali ya CCM unazidi kuiaibisha zaidi na kibaya zaidi unajiona una Akili wakati huna Ubongo kichwani
 
Kwani chanjo ikiletwa, watanzania wakachanjwa, mwenyekiti wa CHADEMA atanufaika vipi kisiasa? Umesema siyo shabiki wa chama Cha siasa,Ila kumbe ni shabiki wa chama tawala.
 
In short you are stupid!
Vaa barakoa uwakinge wengine
 

Wewe usiamini kama kuna covid19 21 , na endelea kusubiri kupata taarifa za vifo vya ndugu na jamaa hata wewe ukiwa marehemu mtarajiwa
 
Mleta uzi huu ni mfano wa akina Pascal Mayalla na Cyprian Musiba.There for a gain,no gain no thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…