Hili la maambukizi ya ajabu ya COVID-19 litapita na mtabaki mmeumbuka

Ni kwamba kuna chanjo ya Covid 19 imesababisha kuwe na maambukizi ya ajabuajabu.
Mmeyajuaje wakati hatujachanjwa na wala "hatuna maambukizi"?? Sasa mmejuaje hayo yote? Narudia Mungu hakutupa akili za kuvalia nguo na kwendea chooni na kuibia kura tu! Ametupa akili tuzitumie ili yeye aweze kuwakuza na kuwalinda watoto wetu. Mungu hadhihakiwi
 
Hata wewe unafurahia kufichwa kwa taarifa za ugonjwa huo ilihali mataifa mengine yanatoa takwimu kila wakati ili kuwatahadharisha wananchi wao kuchukua tahadhari! Jiulize, ni lini waziri wa afya aliwahi kuusemea ugonjwa wa covid-19 au huu mpya wa nimonia? Au wizara ya afya Haina waziri Wala msemaji wake? Kuna Jambo gani la ajabu wasilotaka wananchi walijue?
Wasaka uteuzi wanataka taarifa zifichwe ili waunge mkono hoja za kuficha taarifa wapate uteuzi kwa kufagilia ujinga wa kuficha takwimu
 
Tumia akili kujadili mada,jikite kwenye mada husika.
 
Ndio mamlaka zinazotakiwa kutupa taarifa rasmi
Mamlaka za Tanzania zinaficha taarifa na nyinyi wasaka uteuzi mmeamua kujitoa fahamu kuandika ujinga ili kuwafurahisha kwa vigezo kuwa hilo litapita kama corona ya awali wakati kule awali watu hawakuwa wakisalimiana kwa kushikana mikono tofauti na sasa ambapo watu wanashikana mikono wanakula kwa kuchangia sinia moja hakuna tahadhari za kutosha
 
Mmeyajuaje wakati hatujachanjwa na wala "hatuna maambukizi"?? Sasa mmejuaje hayo yote? Narudia Mungu hakutupa akili za kuvalia nguo na kwendea chooni na kuibia kura tu! Ametupa akili tuzitumie ili yeye aweze kuwakuza na kuwalinda watoto wetu. Mungu hadhihakiwi
Muwe mnafuatilia vyombo vya habari vya kimataifa. Kumbuka Tanzania ni sehemu ya Dunia.
 
Leo nimeshinda naangalia Aljazeera, nimeangalia CCN pia! Hiki unachoongea umekitoa wapi? Unafahamu procedure za kupata chanjo? Acha kupotosha ndugu! Siku ukipata mgonjwa nadhani akili itakukaa sawa!
 
0
Mamlaka za Tanzania zinaficha taarifa na nyinyi wasaka uteuzi mmeamua kujitoa fahamu kuandika ujinga ili kuwafurahisha kwa vigezo kuwa hilo litapita kama corona ya awali wakati kule awali watu hawakuwa wakisalimiana kwa kushikana mikono tofauti na sasa ambapo watu wanashikana mikono wanakula kwa kuchangia sinia moja hakuna tahadhari za kutosha
Hivi ndugu minyoo Covid 19 inafichika? Kumbuka Brazil walileta kiburi unakumbuka nini kilifuata?

Acha stori za kitoto za watu kula sinia moja.
 
Leo nimeshinda naangalia Aljazeera, nimeangalia CCN pia! Hiki unachoongea umekitoa wapi? Unafahamu procedure za kupata chanjo? Acha kupotosha ndugu! Siku ukipata mgonjwa nadhani akili itakukaa sawa!
Unajua mpaka sasa chanzo cha corona virus ni nini? Unajua controversy zinazoendelea duniani juu ya hii chanjo?
 
0

Hivi ndugu minyoo Covid 19 inafichika? Kumbuka Brazil walileta kiburi unakumbuka nini kilifuata?

Acha stori za kitoto za watu kula sinia moja.
Story ya kitoto ni kuwatetea boss zako ambao wamekwepa wajibu wao wameshindwa hata kuzuia Salam za kushikana mikono tu, Yaani hata kutangaza marufuku ya salam za mkono wameshindwa?
 
Huko USA na Ulaya hawakuzuia salamu za mikono? Tumia akili we dogo. Nani boss wangu acha upuuzi.
 
Hakuna taarifa zinazofichwa,huwezi kuificha Covid 19. Tumia akili wewe kibaraka wa Mbowe.
Wewe kibaraka wa Le mutuz ndiyo utumie Akili acha kusaka uteuzi kishamba hivyo kama Le mutuz ambaye hajapewa cheo licha ya kujipendekeza kwa Serikali kwa saa 24 kila siku
 
Nisake uteuzi ili iweje? Nipo kijijini nalima na kufuga,sihitaji uteuzi.
 
Huko USA na Ulaya hawakuzuia salamu za mikono? Tumia akili we dogo. Nani boss wangu acha upuuzi.
Upuuzi ni kuwakana hao waliokutuma kuandika ujinga wenu, Ulaya, USA si mnawaita mabeberu nyinyi mkiwa ni mbuzi jike iweje leo uwatolee mifano?
 
Unajua mpaka sasa chanzo cha corona virus ni nini? Unajua controversy zinazoendelea duniani juu ya hii chanjo?
Usihamishe hoja! Unadai Chanjo imeleta corona ya ajabu ajabu, nipe evidence! Yaani ulimwengu mzima wanajimbilia chanjo wewe unaongea vitu ambavyo havipo? Kila kitu kina controversy hilo ni la kawaida sana. India as we speak wameanza zoezi la chanjo kwa wananchi wake, Iran wameagiza Chanjo kutoka China etc wewe unapinga! Eti umesali? Acha kumdhalilisha Mungu
 
Upuuzi ni kuwakana hao waliokutuma kuandika ujinga wenu, Ulaya, USA si mnawaita mabeberu nyinyi mkiwa ni mbuzi jike iweje leo uwatolee mifano?
Huna akili na ninakupuuza kama kinyesi.
 
Back
Top Bottom