Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mungu sio mjinga Ndugu yangu! Kasome maandiko ya akina Mfalme Naamani aliyekua na ukoma. Kuna very special cases ambazo Mungu yeye mwenyewe hutenda miujiza ya Uponyaji na mengine. Mungu hashurutishwi na Wana siasa, tusimdhihaki Mungu, ametupa akili tuzitumie, tusizitumie kwenye kuibia kura tuMungu yupo na sisi.