minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Endelea kuvuta Bangi mpaka imekufanya kuikana CCM sasaWe bwege mimi ni mwanaCcm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuvuta Bangi mpaka imekufanya kuikana CCM sasaWe bwege mimi ni mwanaCcm?
Sina chama we mburula,ila ninasema ukweli.Endelea kuvuta Bangi mpaka imekufanya kuikana CCM sasa
Anaumbuka wapi? Lini? Ubunge upi alikosa? Tanzania hakunuwa na uchaguzi bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani na nyinyi wavuta Bangi mnashabikia haramu zaoLazima jitu pumbavu kama wewe upanick. Mpe ujumbe wake Mbowe anaumbuka tena,na ndio maana alikosa ubunge.
Huna ukweli wowote zaidi ya kusaka uteuzi kishamba shambaSina chama we mburula,ila ninasema ukweli.
Uteuzi? Pumbavu.Huna ukweli wowote zaidi ya kusaka uteuzi kishamba shamba
Wewe ndiyo pumbavu kwa kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetaniUteuzi? Pumbavu.
Mwambie Mbowe amechemka,ndio maana alikosa ubunge. Mliobaki kumtetea na upuuzi wake ni wapuuzi hamna hoja za msingi.Wewe ndiyo pumbavu kwa kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
Huna Akili timamu alafu wewe ni mpuuzi unawezaje kujua Hoja? Mpaka ukiacha kuvuta Bangi ndipo utazinduka na kujua kumbe wewe ni bado ni fala na hupaswi kuwa kioo cha kujitetea CCM mitandaoni kwani badala ya kuisaidia Serikali ya CCM unazidi kuiaibisha zaidi na kibaya zaidi unajiona una Akili wakati huna Ubongo kichwaniMwambie Mbowe amechemka,ndio maana alikosa ubunge. Mliobaki kumtetea na upuuzi wake ni wapuuzi hamna hoja za msingi.
Yaani muelekeo wako upo wazi kabisa unaoneka bila chenga ni muelejeo wa kikoronakorona kabisa huna muda mrefu utakua ni muhanga kama wahanga wengine wa koronaKwa akili yako fupi unadhani mimi ni mlengo gani?
Kwani chanjo ikiletwa, watanzania wakachanjwa, mwenyekiti wa CHADEMA atanufaika vipi kisiasa? Umesema siyo shabiki wa chama Cha siasa,Ila kumbe ni shabiki wa chama tawala.Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake.
Hapa nchini kwetu kumetokea vifo vingi kipindi cha mwezi huu wa kwanza na vifo hivi vimewashutua watu watanzania na kuwa na hofu juu ya maambukizi mapya ya Covid 19 yamevamia nchini kwetu.
Mimi binafsi nasubiri tamko la waziri wa afya,waziri mkuu au rais wa JMT ndio niwe na uhakika juu ya maambukizi haya mapya.
Lakini nini kinawasukuma baadhi ya watu kuizodoa serikali juu ya kutoweka uwazi kama kuna maambukizi mapya?
Nimeshangaa hadi mwenyekiti wa Chadema ameibuka akidai kuwa watanzania tunafichwa juu ya maambukizi ya covid 19. Na ameenda mbali akidai kuwa serikali ikiwa wazi tutapata misaada ya tiba na madakari.
Maoni; Hata hili mnaloshobobokea mkidhani litawabeba kisiasa nalo litapita,maana Mungu yupo na Tanzania. Maambukizi ya mwanzo yalipoingia nchini,mlitengeneza clip kuonyesha watu wanazikwa usiku ,lakini hamkufanikiwa kisiasa. Mungu alitulinda watanzania.
Shida ya hawa wahitimu wa kidato Cha 4/6 wanadhani bado wako shule kwenye what is civics!Yaani muelekeo wako upo wazi kabisa unaoneka bila chenga ni muelejeo wa kikoronakorona kabisa huna muda mrefu utakua ni muhanga kama wahanga wengine wa korona
In short you are stupid!Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake.
Hapa nchini kwetu kumetokea vifo vingi kipindi cha mwezi huu wa kwanza na vifo hivi vimewashutua watu watanzania na kuwa na hofu juu ya maambukizi mapya ya Covid 19 yamevamia nchini kwetu.
Mimi binafsi nasubiri tamko la waziri wa afya,waziri mkuu au rais wa JMT ndio niwe na uhakika juu ya maambukizi haya mapya.
Lakini nini kinawasukuma baadhi ya watu kuizodoa serikali juu ya kutoweka uwazi kama kuna maambukizi mapya?
Nimeshangaa hadi mwenyekiti wa Chadema ameibuka akidai kuwa watanzania tunafichwa juu ya maambukizi ya covid 19. Na ameenda mbali akidai kuwa serikali ikiwa wazi tutapata misaada ya tiba na madakari.
Maoni; Hata hili mnaloshobobokea mkidhani litawabeba kisiasa nalo litapita,maana Mungu yupo na Tanzania. Maambukizi ya mwanzo yalipoingia nchini,mlitengeneza clip kuonyesha watu wanazikwa usiku ,lakini hamkufanikiwa kisiasa. Mungu alitulinda watanzania.
Najua mnategemea muone watu wakizikwa kwa maelfu ili mfurahi.Mmezaliwa ni wapumbavu wa kisiasa.
Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake.
Hapa nchini kwetu kumetokea vifo vingi kipindi cha mwezi huu wa kwanza na vifo hivi vimewashutua watu watanzania na kuwa na hofu juu ya maambukizi mapya ya Covid 19 yamevamia nchini kwetu.
Mimi binafsi nasubiri tamko la waziri wa afya,waziri mkuu au rais wa JMT ndio niwe na uhakika juu ya maambukizi haya mapya.
Lakini nini kinawasukuma baadhi ya watu kuizodoa serikali juu ya kutoweka uwazi kama kuna maambukizi mapya?
Nimeshangaa hadi mwenyekiti wa Chadema ameibuka akidai kuwa watanzania tunafichwa juu ya maambukizi ya covid 19. Na ameenda mbali akidai kuwa serikali ikiwa wazi tutapata misaada ya tiba na madakari.
Maoni; Hata hili mnaloshobobokea mkidhani litawabeba kisiasa nalo litapita,maana Mungu yupo na Tanzania. Maambukizi ya mwanzo yalipoingia nchini,mlitengeneza clip kuonyesha watu wanazikwa usiku ,lakini hamkufanikiwa kisiasa. Mungu alitulinda watanzania.
Chanzo Cha Matatizo (CCM)Kwa akili yako fupi unadhani mimi ni mlengo gani?
Hakuna mpumbavu annayekuzidi wewe humu JFNajua mnategemea muone watu wakizikwa kwa maelfu ili mfurahi.Mmezaliwa ni wapumbavu wa kisiasa.
Jibu unalo wewe na wapumbavu wenzako.Hakuna mpumbavu annayekuzidi wewe humu JF