silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu.
Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono mauaji haya ila hii chuki anayoipandikiza MANGE kwa watz ambayo tayari imeshaleta uharibifu mkubwa inaweza kututia kwenye vita vikubwa tusipokua makini, huku MANGE akiwA anaendelea kula bata marekani.
Sisi wazanzibari wenyewe tumekua wahanga wa vyombo vya dola vya Tanganyika kwa miongo mingi, na hata siku moja hatukuwahi kuwanyooshea mikono watanganyika kwani maovu huletwa na mfumo sio mtu binafsi. Mwaka 1964 , mamluki kutoka bara wakiongozwa na John Okelo, walivamia visiwa vya znz na kuendesha mauaji ya Halaiki na kupindua serekali iliochaguliwa kihalali na wananchi.
Mwaka 2000 wananchi wengi waliuawa kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa Tanganyika Mkapa.
Pia kila kipindi cha uchaguzi wanajeshi kutoka bara wanaingia visiwani na kuleta taharuki.
Hivyo ndugu zangu watz, kwa sasa Mange ndie adui mkubwa wa ustawi taifa letu, na anaweza kututia kwenye vita wakati wowote, yeye mwenyewe juzi tu alikua anauza video za ngono za watz leo ndio awe mkombozi wa Taifa hili kweli.
Mwisho kabisa niwaombe CCM kuwasikiliza wananchi wanachotaka na sio wanachotaka wao watawala, kodi na tozo zimekua kero kubwa, waache kuwakebehi wananchi , zile kauli za watu wale nyasi au wapige mbizi au wahame nchi hazina nafasi tena, wananchi wa sasa wako very smart kwa sababu ya digital age