lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Sasa mkuu decipher this,
Juzi Samiyu kasema waliokufa kwenye maandamano sio Watanzania,so kama mtu sio mtanzania ni halali kufa,ila Mtanzania hatakiwa kuguswa,.go with me now,
Mzanzibar anatambulika kama mtanzania,ila mtanganyika hatambuliki kama Mzanzibar,.. unajua hiyo Ina maana gani kwa Samiyu??
Kwamba it's okay kuua mtanganyika,ila sio mtanzania(mzanzibar)..