Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

Mara zote nakuwa namfikiria sana huyu Muha wa Kigoma. Kutoka Dar kurudi kwao aandae 101000. Huyu unadhani atarudi kwao kirahisi!?
 
Kwa kweli hali si shwari hata kidogo,masikini hana pa kupumlia na mwisho wa siku lazima akate moto.
Tatizo waafrika tu wabinafsi sana ,sa ivi kila mtu anakula kutokana na urefu wa kamba yake.
 
Ndio wameshaamua hao wenye mamlaka. Hata likifika bungeni usitegemee mabadiliko maana watetezi watakuwa ni kina
Abood
Mmsukuma
Shabiby
Hili swala ni gumu
 
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi wananchi wanaangaliwa hapa au ni maslahi ya wafanya biashara ndio yanazingatiwa zaidi?
Wewe changia hela ya mafuta V8 zao zinahitaji mafuta ya kutosha na inabidi waingize zingine mpya hizi chakavu zikae sub in uchaguzi umekaribia
 
Ebu ww nend hospitali kapime hiyo akili yako kwanza halafu urudi tuendelee na mjadalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo na serikal imeweka cha juu.Nadhan kodi wameongeza pia
 
Wenzio wanatembelea V8 zenu, mafuta mnawalipia nyinyi, wanakula posho za kutosha, maisha yao na nyie ni dunia mbili tofauti. Hawawezi kuelewa shida zenu. Haziwahusu na hawaguswi na maumivu yenu, wapo peponi na hawataki kutoka.
 
CCM ni takataka. Itolewe.
 
Ng'ombe hawezi kumpangia mchunga ng'ombe nini cha kufanya atafanya vile anataka na hakuna kitu ng'ombe atafanya
Hiyo ni wananchi na viongozi Tanzania

Hakuna mtu wa kukusemea wewe mwananchi zaidi ya wewe mwenyewe kujistendia

Ni jambo la kusikitisha kwamba bado unaamini katika box la kura
Hii tu itoshe kuona kwamba sisi ni mang'ombe

Umeshindwa kujua kwamba hata mpige kura upinzani kwa asilimia mia bado ccm ndiyo itatangazwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…