Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

Mara zote nakuwa namfikiria sana huyu Muha wa Kigoma. Kutoka Dar kurudi kwao aandae 101000. Huyu unadhani atarudi kwao kirahisi!?
 
Kwa kweli hali si shwari hata kidogo,masikini hana pa kupumlia na mwisho wa siku lazima akate moto.
Tatizo waafrika tu wabinafsi sana ,sa ivi kila mtu anakula kutokana na urefu wa kamba yake.
 
Ndio wameshaamua hao wenye mamlaka. Hata likifika bungeni usitegemee mabadiliko maana watetezi watakuwa ni kina
Abood
Mmsukuma
Shabiby
Hili swala ni gumu
 
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi wananchi wanaangaliwa hapa au ni maslahi ya wafanya biashara ndio yanazingatiwa zaidi?
Wewe changia hela ya mafuta V8 zao zinahitaji mafuta ya kutosha na inabidi waingize zingine mpya hizi chakavu zikae sub in uchaguzi umekaribia
 
Machadema nyie ni mapunguani na hamjielewi.

Kwa kichwa chako hicho unachofugia nywe unadhani kuja siku Machadema yatakusaidia wewe uwe na maisha mazuri au?

Kuelewa hutaki hata mifano kwenye Nchi zilizochagua Wapinzani kipi Cha maana wamewaletea zaidi ya kuzidisha ugumu wa Maisha? Pole kukosa akili ni kama ugonjwa.
Ebu ww nend hospitali kapime hiyo akili yako kwanza halafu urudi tuendelee na mjadala😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?

Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi wananchi wanaangaliwa hapa au ni maslahi ya wafanya biashara ndio yanazingatiwa zaidi?

Kwakweli kwa sasa naona wafanya biashara wameishika nchi kweli kweli yaan wanaamua watakalo.

Hii nchi hiii, ndio maana kuna mtu alisema wafanya hiashara wakubwa sasa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha mama anabaki madarakani kumbe kuna wanacho nufaika naye.

Mama tafadhari simama na wananchi maana ndio unao waongoza kwa wingi na ndio unao wahitaji kwenye kura hawa wafanya biashara wawe na kiasi usiwakumbatie sana wananchi tuna umizwa sana.
Hapo na serikal imeweka cha juu.Nadhan kodi wameongeza pia
 
Wenzio wanatembelea V8 zenu, mafuta mnawalipia nyinyi, wanakula posho za kutosha, maisha yao na nyie ni dunia mbili tofauti. Hawawezi kuelewa shida zenu. Haziwahusu na hawaguswi na maumivu yenu, wapo peponi na hawataki kutoka.
 
Hii Nchi imekuwa ni kama ng'ombe aliyekatwa kichwa.......tunajiendea tu

Suala la kupanda kwa gharama za Nauli tulijua lazima tutafika huku. Shida kubwa ililetwa na kupanda kwa bei ya Mafuta (Fuels).

Ajabu gharama za Dizeli/Petrol huku kwetu ni kubwa kuliko hata hapo Zambia japo wao wanapitisha mafuta yao kupitia Tanzania
CCM ni takataka. Itolewe.
 
Maumivu haya yaelekezwe 2025. Msifanye makosa tukarudi tena mitandaoni kulalamika.

Binafsi nishachoka hata kusema mwisho utaishia kukamatwa. Ni mateso makubwa kwa wananchi halafu anayepaswa kuwasemea yuko kimya halafu anakuja mtu anasema manini gani sijui huko.

Waandamizi wengi ni wafanyabiashara wa magari na dala dala. Sasa mmateso mwenzangu unataka tuitwe mwanaraha ili iweje???

Wacha wale raha nasi tule mateso japo wanakale wanasema yana mwisho . Ni muda mwafaka kwao. Nasi ni muda murua kuinjoi haya mateso.

Aliposema Magufuli kwamba ipo siku tutamkumbuka hakika alikuwa amelewa gongo. Ila leo nimetambua haikuwa gongo bali ili
Ng'ombe hawezi kumpangia mchunga ng'ombe nini cha kufanya atafanya vile anataka na hakuna kitu ng'ombe atafanya
Hiyo ni wananchi na viongozi Tanzania

Hakuna mtu wa kukusemea wewe mwananchi zaidi ya wewe mwenyewe kujistendia

Ni jambo la kusikitisha kwamba bado unaamini katika box la kura
Hii tu itoshe kuona kwamba sisi ni mang'ombe

Umeshindwa kujua kwamba hata mpige kura upinzani kwa asilimia mia bado ccm ndiyo itatangazwa mshindi
 
Back
Top Bottom