Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mkuu mbona unanikaripia, ni hayo maoni yangu tu au kuna lingine?Unaropoka tuu ,unajua gharama za maisha zilivyo Zambia wewe? Unajua kwamba watu wa Zambia Wanalia.kwa ugumu wa Maisha sio tuu mafuta kuanzia vyakula bei ziko Juu na hawamtaki huyo Rais aliyetokea upinzani kama Machadema yanavyowadanganya?
Yaani wewe Kwa akili Yako unadhani Wanasiasa wanatafuta madaraka kukusaidia wewe au?
Me nimezungumzia gharama za mafuta ambayo wakazi wa Tunduma huenda kila Leo hapo Zambia na kununua badala ya kununua huku Bongoland