The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Toa mfano badala ya kudanganya.Nauli zimeongeseka kwa.wastani wa sh.5,000-13,000 kulingana na umbali.Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi wananchi wanaangaliwa hapa au ni maslahi ya wafanya biashara ndio yanazingatiwa zaidi?
Kwakweli kwa sasa naona wafanya biashara wameishika nchi kweli kweli yaan wanaamua watakalo.
Hii nchi hiii, ndio maana kuna mtu alisema wafanya hiashara wakubwa sasa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha mama anabaki madarakani kumbe kuna wanacho nufaika naye.
Mama tafadhari simama na wananchi maana ndio unao waongoza kwa wingi na ndio unao wahitaji kwenye kura hawa wafanya biashara wawe na kiasi usiwakumbatie sana wananchi tuna umizwa sana.
Yaani ulipe nauli wewe harafu useme Rais anakombolewa? Na sio kweli kwamba Rais hafuatilii ,mbona miamala na mafuta alipunguza bei? Aliyekudanganya hafuatilii ni nani?
Mwisho umeambiwa kama unaona nauli kubwa tembea Kwa miguu au nunua chombo chako