Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,100
- 649
Hapana sitetei majambazi bali "majambazi"
nonsense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sitetei majambazi bali "majambazi"
Unapoongozwa na hamaki na taharuki badala ya kutazama unakuwa unaangalianonsense
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila shaka wewe ni polisi! Nina sababu za kukwambia hivyo. Matusi ndio kipimo cha akili yako!mnafiki tu ww, bahati mbaya hauna madhara yeyote kwa andiko lako.
Una akili ndogo sana. Huna faida yeyote humu.nonsense
Bila shaka wewe ni polisi! Nina sababu za kukwambia hivyo. Matusi ndio kipimo cha akili yako!
Bila shaka wewe ni polisi! Nina sababu za kukwambia hivyo. Matusi ndio kipimo cha akili yako!
Wala sio police huyu...ni mmojawapo wa vijana mahiri wa mtaa wa lumumba na hapa ndio anathibitisha umahiri wakeUna akili ndogo sana. Huna faida yeyote humu.
Umbumbumbu ni kitu kibaya sana, tutaendelea kufanya maombi kwa ajili ya watu kama ninyi.huondo ukweli, kwan ni uongo
Mkuu heshima kwako. Bila shaka una kipaji au IQ ya kipekee. Nikiri kuwa mimi ni mmoja wa wenye kufikiri kuwa kauli za rais au kiongozi yeyote wa umma lazima ziwe katika mfumo wa 1+1=2 au 2+5=7 (kwa mfano wako) ili kutoruhusu mikanganyiko yoyote ya uelewa kwa wananchi. Ndivyo tulivyozoea kwa awamu zilizopita na kwa viongozi wa nchi nyingine.
Safari hii itabidi niwe nasoma mabandiko yako kuelewa kauli za Magufuli. Lakini unao uhakika kuwa Mheshimiwa huyu hana mielekeo ya kuachia "gaffes" katika "haraka" zake za kutoa maagizo ya kuvutia wanyonge?
Nafikiri mkuu ukishaliona hilo puuzia tu! Ukweli huishi daima.Wala sio police huyu...ni mmojawapo wa vijana mahiri wa mtaa wa lumumba na hapa ndio anathibitisha umahiri wake
Una akili ndogo sana. Huna faida yeyote humu.
Ni kweli hana madhara, ila wenye madhara wapo. Subiri utawasikia na wengine yawezekana utawaona pia. Once the can of worms, or the pandora box is opened and the hell breaks loose!mnafiki tu ww, bahati mbaya hauna madhara yeyote kwa andiko lako.
Umbumbumbu ni kitu kibaya sana, tutaendelea kufanya maombi kwa ajili ya watu kama ninyi.
Ni kweli hana madhara, ila wenye madhara wapo. Subiri utawasikia na wengine yawezekana utawaona pia. Once the can of worms, or the pandora box is opened and the hell breaks loose!
Kesho na keshokutwa "majambazi ya kichotara" yataanza kunyanganywa silaha haraka haraka.
Yes, naota tu...msije mkaniuzia kesi...ni ndoto tu.unaota na asubuhi hii?