Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

Je kulikuwa na sababu za msingi kumng'oa Assad?
Unamuuliza Nani sasa jomba..aliyemteua ndio anajua undani na kwanini..wewe inakuhusu. Usipoteze muda wako jomba..mpigie simu aliyemteua akuambie sababu..sisi huku tutakuwa tunaongopeana tu
 
Hii kitu imekaa vibaya. Kwa kifupi ni kwamba JPM kamtumbua Assad kwa sababu anazozijua mwenyewe. CAG hajastaafu kwani bado hajagonga 60 years. Inaleta ukakasi sana kama JPM ana nia ya dhati kabisa ya kupambana na wizi wa fedha za Umma
Angekuwa Hana Nia ya dhati hivi ingewezekana vipi akanunua madege karibu kumi ndani ya miaka minne..hujiulizi..wewe...hata kidogo..haya mapesa si yote angeyatia ndani..angeyalamba yote, wee vipi bana..
 
Kipindi hiki tunawaomba waKaskazini, Waislamu na wapinzani mtusamehe kwakuwa tuko bize tunaijenga nchi

Chief sidhani kama ilikua ni lazima kuzungumzia imani za watu, itikadi za chama au ukanda wao. Kwani sote tu kitu kimoja na hoja hii haina afya kwa umoja wa kitaifa kwani inawatenga watu fulani na kuwahisisha watu fulani. Ni bisara sana usishambulie itikadi wala asili ya mtu yeyote kwani haya uvunja udungu wa Kitanzania. [emoji120][emoji120][emoji120] nawasilisha
 

Hamdanganyiki? Nyie mnadanganywa kila siku, na ujinga/upumbavu wenu ndio mtaji wa hao mnaowaimbia mapambio!
 
Nchi yenye watu wa kusadikika, Tutafika tu
Tumieni Kila aina ya methali, tungo Tata na nini mpaka mzimalize..wewe na ndugu zako mama yako, baba yako watoto wako, mmeo wote ni wakusadikika..kumbe ndio hivyo..basi sawa..lakini tutafika kule tuendapo..
 
Katiba inasema atatumikia miaka mitano na anaweza kuteuliwa miaka mitano mingine. Kuteuliwa kipindi cha pili ni mapenzi ya mteuaji.
Ni bora ungeambatinisha na hicho kipengele cha katiba kinachosema hivyo,vingenevyo unaonekana mmbea tu
 
Shall be eligible unajua maana yake, shall hold office for fixed term of 5 years kwako inaeleweka vipi? Maana yake baada ya hiyo miaka 5, anaweza kuendelea tena mingine 5 unless awe amefikisha miaka 60, mteuaji akiona hiyo miaka 5 inatosha kavunja sheria ipi? Mimi namkubali sana Asad, lakini ukweli ni kwamba rais hajavunja katiba.
 
Tumieni Kila aina ya methali, tungo Tata na nini mpaka mzimalize..wewe na ndugu zako mama yako, baba yako watoto wako, mmeo wote ni wakusadikika..kumbe ndio hivyo..basi sawa..lakini tutafika kule tuendapo..
mzee wa Babeli usijali na bado uko utumwani sasa tunaelekea nchi ya Ahadi
 
Hamdanganyiki? Nyie mnadanganywa kila siku, na ujinga/upumbavu wenu ndio mtaji wa hao mnaowaimbia mapambio!
haijalishi..ili mradi wananchi tunaona kwa macho yetu yanayotendeka na serikali..utatuambia Nini bana...sisi hatupo Kama nyie mnaodanganywa na Mwenyekiti wetu kawafumba macho, chama mpaka kinafanya biashara ya kuweka na kukopa, saccos in nature..chama kilichoibuliwa na CAG kwa ufisadi wa mabilioni ya fedha, mmekaa kimyaaa..eti chama Cha kidemokrasia,, utatuambia Nini jomba
 
sasa mtamlazimisha Rais aendelee nae nyie vip?
mkataba upo wazi siyo lazima
 
Waambie hao wanaharakati waelewe wakawaeleze waume zao
 
Waambie hao wanaharakati waelewe wakawaeleze waume zao
 
Pascal umesoma sheria hilo neno ‘SHALL’ kwenye sheria lina maana kuwa ni uamuzi wa mteuaji kuongeza au kutoongeza mkataba? Au halina maana nyingine ambayo haijazingatiwa.
 
Na hivi ndivyo ufalme wa mfalme juha ulivyokuwa ukibana matumizi.
 
Huyu anayekuja aanzishe utaratibu wa kukagua doc online, huu utaratibu wa NAO kwenda halmashauri kukaa mwezi unaitia serikali hasara. Halmashauri ziwe zinatuma doc.online zinakaguliwe unatandikwa query zako unajibu na kufuta huko huko online
Nadhani ofisi ya CAG haikagui Doc pekee.
 

Mnayaona tu yale mnayooneshwa lakini yaliyofichwa nyuma hamuwezi kuyaona kwasababu ya umbumbumbu wenu!! Huko nyuma msikokuona ndio kumejaa uchafu usiosafishika!!!
 

Mzee Mwanakijiji
Kiingereza hujuhi au ndio unatumikia tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…