mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Wakati wa mfungo wa ramadhani mdudu hua anadororaWanakula vema tu hawa islam, a.k.a kobazi, nguruwe wanampenda sana, ni mtamu
Yupo sawa kabisa kabisa hata ww kati Allah na Pesa za CCM unachagua nini shtuka pesa unaiona wazi wazi hii je Allah unauhakika utamkuta soma vitabu ujanjaruke kama Salim kikeke Mwislamu wa UKWELI huyo ..Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Sasa unaniuliza Mimi kati ya Allah na pesa , badala uwaulize waisalmu?hivi umesoma Uzi vizuri?Yupo sawa kabisa kabisa hata ww kati Allah na Pesa za CCM unachagua nini shtuka pesa unaiona wazi wazi hii je Allah unauhakika utamkuta soma vitabu ujanjaruke kama Salim kikeke Mwislamu wa UKWELI huyo ..
KUSEMA SIYO KUTEKELEZAKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Kikeke ni wale Morden Muslim!,swala la nguruwe halimuumizi sana mradi hali yeye,kwa nini sasa awazuiwiye walaji wa hiyo kitu!!??Yupo sawa kabisa kabisa hata ww kati Allah na Pesa za CCM unachagua nini shtuka pesa unaiona wazi wazi hii je Allah unauhakika utamkuta soma vitabu ujanjaruke kama Salim kikeke Mwislamu wa UKWELI huyo ..
We jamaaa una mambo ya kikafiri sana walaah hv hyo koba sijui mbamizwa ndi nini
Mbamizwa kitimoto nusuWe jamaaa una mambo ya kikafiri sana walaah hv hyo koba sijui mbamizwa ndi nini
Kikeke kila akiongea ni nilipokua ulayaaaa nilipokua ulayaaaaKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Acha ujinga alafu ukiwa na mimi acha kuongea habari za huyo mdudu aliye laaniwaMbamizwa kitimoto nusu
Umebarikiwa ungefunua nyuchi za mama zako ? Laana sumakaAcha ujinga alafu ukiwa na mimi acha kuongea habari za huyo mdudu aliye laaniwa
Nguruwe amelaaniwa Ila kuua na kuoa watoto sio laana πAcha ujinga alafu ukiwa na mimi acha kuongea habari za huyo mdudu aliye laaniwa
Jamaa anaona wajumbe na wananchi hawajawahi kupanda ndege hvy wakiambiwa mambo ya Ulaya watajua jamaa alikuwa rais wa Ulaya hvy na huku ataleta maendeleo πKikeke kila akiongea ni nilipokua ulayaaaa nilipokua ulayaaaa
wajumbe kateni
Mmekuja kumtetea kobaz mwenzenu πKUSEMA SIYO KUTEKELEZA