Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Kama ilivyo uwepo wa wanaCCM tunaojitambulisha hadharani na wale wa sirisiri kama Erythrocyte & Lema pia kuna wala kitimoto wa hadharani na wale wa sirini. Kwenye wale wa sirini ndo kuna waislamu wengi na wasabato.
 
Labda nikupe jibu sahihi mleta mada,maana umekuja vizuri na umeuliza.
Salum Kikeke kwa alichoahidi Wala hana dhambi na hapati dhambi na Yuko sahihi.
Kwasababu yeye anaishi katika nchi ama tawala isiyokua ya kiislam na Wala haiongozwi kiislamu.
Pia Wala hajavunja taratibu za kiislam kwasababu hao nguruwe hali yeye na Wala hafanyi biashara yeye. Bali yeye anaongoza watu wenye imani ya kula hao nguruwe.
Mbona hata mtume (s.a.w) alisaini makubaliano ya amani na kuishi nao chini ya paa Moja wayahudi?
Na nadhani wayahudi unafahamu Mila zao za vyakula vipoje.
Ila kama ingekua anatawala nchi inayoongozwa kiislam na sheria za kiislam basi asingepaswa kufanya alilofanya.

Kuna wapuuzi na mafala wengine wao wanafanya dhihaki ya udini.
Kheri yako mleta mada umekuja kwa kuuliza na hayo maelezo nilokupa ndio jibu sahihi.
Mkuu mimi siijui vizuri Quran, pia siijui vizuri biblia. Hivyo kwenye mijadala ya dini huwa nakaa mbali kwa sababu hiyo
Lakini kuna sehemu natumia logic kuona kosa.

Ulichoandika nikitumia logic tu naona hujasema kweli, lakini unaweza kunielewesha maana sijui vizuri/sijui kabisa.

Kitimoto ni haram kwenye uislamu, inakuaje muislamu kukitangaza na kukipa promo isiwe kosa? Labda kama uislamu unatofautiana, kwa maana nina mifano mingi ya waliowahi kukataa shughuli kama hizo

Mfano: unamaanisha muislamu akienda nchi ambayo inaruhusu ushoga, na huyo muislamu akaamua kutangaza ushoga na kuupa promo hiyo kwenye uislamu haiwezi kuwa kosa, tu kwa sababu hilo eneo alilopo ushoga umeruhusiwa?

Mfano mwingine, eneo ambalo betting imeruhusiwa, muislamu anaweza kuipa promo betting na kuitangaza watu wacheze? Nj sahihi akifanya hivyo?
 
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Hivi wehu wanajiaminishaje kuwa Uislam ni dini pendwa ya Mwenyezi Mungu? Uislam ni dini ya shetani haina Umungu wowote ndani yake na ndiyo maana shetani alimshukia Muddy na kumpa zile haya za kishetani. Sasa Mungu na shetani wapi na wapi?
 
Nikuletee madhara ya ulaji wa nguruwe!?
Kwani uharamu wa nguruwe kwenye dini ulikuwa ni kwenye kumla tu ?mbona mbwa naye ni haramu ila aliwi hapa tz ...someni hizo dini zenu vizuri uharamu wa Nguruwe upo haka katika kumgusa nk ...je kati ya muhammad na yesu ni yupi haswa aliye ruhusu ulaji wa nguruwe ? Jibu ni muhammad....
 
Mkuu mimi siijui vizuri Quran, pia siijui vizuri biblia. Hivyo kwenye mijadala ya dini huwa nakaa mbali kwa sababu hiyo
Lakini kuna sehemu natumia logic kuona kosa.

Ulichoandika nikitumia logic tu naona hujasema kweli, lakini unaweza kunielewesha maana sijui vizuri/sijui kabisa.

Kitimoto ni haram kwenye uislamu, inakuaje muislamu kukitangaza na kukipa promo isiwe kosa? Labda kama uislamu unatofautiana, kwa maana nina mifano mingi ya waliowahi kukataa shughuli kama hizo

Mfano: unamaanisha muislamu akienda nchi ambayo inaruhusu ushoga, na huyo muislamu akaamua kutangaza ushoga na kuupa promo hiyo kwenye uislamu haiwezi kuwa kosa, tu kwa sababu hilo eneo alilopo ushoga umeruhusiwa?

Mfano mwingine, eneo ambalo betting imeruhusiwa, muislamu anaweza kuipa promo betting na kuitangaza watu wacheze? Nj sahihi akifanya hivyo?
Mkuu sijakosea ila wewe ndio hujanielewa.
Uharamu wa nguruwe sio sawa na uharamu wa ushoga ama uharamu wa kamari.
Nguruwe ni mnyama amekatazwa kukiwa isipokua pale ambapo patatokea dharura mathalan balaa njaa na hakuna kingine isipokua nguruwe basi ataliwa.
Ila kama Kuna wanyama wengine nguruwe ni haramu toka hapo.
Sasa HUWEZI kumfananisha uharamu wa nguruwe na laana ya ushoga HUWEZI mkuu.
Kilichokatazwa katika uislam ni kula nguruwe.
Labda nifananishe mifano,wayahudi wanakunywa maziwa ya punda hili ni haramu katika uislam. Ila mtume aliishi nao Madina na alisaini nao mkataba wa amani na akaishi nao na mila zao za vyakula.
Salum Kikeke anahudumia dini tofauti hivyo sera zake zinatakiwa ziendane na eneo husika na hapo hajavunja mipaka yeyote ya dini.
Ulipoingiza ushoga na kamari umeleta mjadala mpya kabbissa.
Umefananisha laana na haramu,hivyo ni vitu viwili tofauti.

Ingekua Salum Kikeke anahudumu taifa la Islamic law basi asingepaswa kufanya hivyo.
Sheria za uislam pia zimeundwa kuendana na mazingira ya sehemu husika.
Mathalan HUWEZI kufika sehemu ukawakataza watu wasinywe pombe,pombe ni uharamu wake ni kama nguruwe tu. Ila unaweza ukatunga sheria ya kuidhibiti huo unywaji pombe usiathiri mamlaka yako kwa wakati huo.
Mathalan Qatar 2022 kombe la dunia,Qatar ilikataza mashoga kuhudhuria kombe la dunia nchini kwao na ilipiga marufuku vitendo vyovyote vinavyoashiria LGBTQ.
Ila kuhusu pombe iliruhusu kwa kiwango maalum na zinyweke faragha sio hadharani.
Hapo nahisi mkuu utakua umepata picha.
 
Hivi wehu wanajiaminishaje kuwa Uislam ni dini pendwa ya Mwenyezi Mungu? Uislam ni dini ya shetani haina Umungu wowote ndani yake na ndiyo maana shetani alimshukia Muddy na kumpa zile haya za kishetani. Sasa Mungu na shetani wapi na wapi?
Unaweza ukaleta ushahidi kuwa uislam dini ya shetani!?
Embu lete ushahidi hapa sisi tunasubiri.
Pia tumekusamehe maana huwenda ni mdogo kiumri ama mfinyu kiakili.
Lete huo ushahidi unaothibitisha uislam dini ya kishetani?
 
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
😄😂😂😂Huyu Mzee amejikuna kichwa
Ni kama alikuwa anasubiri tu Kikeke amalize
Akamkate jina
 
Unipe madhara ya nn? Sitak hayo madhara.

Nipe taarifa ya watu waliodhurika na nyama ya nguruwe na sio madhara ya ulaji wa nguruwe.

Mm nakula kitimoto kila siku na sijawahi kupata madhara yoyote yale, sasa utanambiaje kitimoto kina madhara wakati sijawahi kuyapata wala ht kuona dalili.

Nadhani Ww ndo hutak kuelewa na unaleta ubishi.

Point yangu n moja tuu, inakuaje haram iwe halal kwenye mazingira mengine?

Tatizo lenu Waislamu mkianza kuielezea kitimoto mnaielezea Kwa hasira sana mtadhani mmekatazwa kula wakati mmeruhusiwa kinafiki.
Unaona nikisema wewe ni mbishani?
Unatakiwa uwe mtu mzima basi jamaa punguza UFALA wakati mwingine.
Ni wapi wewe hujaelewa?

Nani kasema uislam umeruhusu ulaji nguruwe kinafiki!?
Ni nani ambaye hajui maana ya dharura!?
Dharura ya njaa wewe huijui!?
Uliwahi kushikwa na njaa Kali!?
Sio tu nguruwe wapo wanyama hadi panya na mijusi kama ikitokea Kuna balaa njaa na hakuna chakula kingine kula hiyo nyama kunusuru maisha yako.
Kijana usipoelewa hapa Sina haja ya kujadiliana na mpuuzi maana unaleta upuuzi sasa.

Ona sasa ulivyo huna akili.
Kunawezaje kuwepo na madhara na kusiwepo watu waliodhurika?
Yani yatajwe madhara ya kitu halafu kusiwepo na waliodhurika!?
Itoshe kusema najadiliana na kichaa Wacha Niku ignore kabisa.
 
Yaani kakosa sera nyingine karukia ya Nguruwe. Mbona wananchi wa huko wana mahitaji mengi muhimu kuliko nyama?
Kama nini hayo mahitaji? Nenda mkoa Kilimanjaro na hasa shule za moshi DC wanafunzi ni less than 20 per class. Dispensary ni at least one per village. Barabara nyingi zina lami. Maji usiseme. So kikeke was right kuzungumzia soko la bidhaa muhimu kwa wakazi.
 
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Kwani wewe Mwehu unaonaje?
 
Mkuu sijakosea ila wewe ndio hujanielewa.
Uharamu wa nguruwe sio sawa na uharamu wa ushoga ama uharamu wa kamari.
Nguruwe ni mnyama amekatazwa kukiwa isipokua pale ambapo patatokea dharura mathalan balaa njaa na hakuna kingine isipokua nguruwe basi ataliwa.
Ila kama Kuna wanyama wengine nguruwe ni haramu toka hapo.
Sasa HUWEZI kumfananisha uharamu wa nguruwe na laana ya ushoga HUWEZI mkuu.
Kilichokatazwa katika uislam ni kula nguruwe.
Labda nifananishe mifano,wayahudi wanakunywa maziwa ya punda hili ni haramu katika uislam. Ila mtume aliishi nao Madina na alisaini nao mkataba wa amani na akaishi nao na mila zao za vyakula.
Salum Kikeke anahudumia dini tofauti hivyo sera zake zinatakiwa ziendane na eneo husika na hapo hajavunja mipaka yeyote ya dini.
Ulipoingiza ushoga na kamari umeleta mjadala mpya kabbissa.
Umefananisha laana na haramu,hivyo ni vitu viwili tofauti.

Ingekua Salum Kikeke anahudumu taifa la Islamic law basi asingepaswa kufanya hivyo.
Sheria za uislam pia zimeundwa kuendana na mazingira ya sehemu husika.
Mathalan HUWEZI kufika sehemu ukawakataza watu wasinywe pombe,pombe ni uharamu wake ni kama nguruwe tu. Ila unaweza ukatunga sheria ya kuidhibiti huo unywaji pombe usiathiri mamlaka yako kwa wakati huo.
Mathalan Qatar 2022 kombe la dunia,Qatar ilikataza mashoga kuhudhuria kombe la dunia nchini kwao na ilipiga marufuku vitendo vyovyote vinavyoashiria LGBTQ.
Ila kuhusu pombe iliruhusu kwa kiwango maalum na zinyweke faragha sio hadharani.
Hapo nahisi mkuu utakua umepata picha.
Nimeelewa.

Lakini poa labda inategemea na muislamu yupoje. Mfano Zuchu alikataa kufanya tangazo la pombe, lakini anaupa promo ushoga
 
Zuchu kwanza ameshakufuru sana tushamtoa nje kulingana na sheria za uislam.
Mziki ni haramu katika uislam mziki unafananishwa na laana ya kamari pamoja na laana ya uchawi.
Zuchu mwanamziki.
Kusema asitangaze pombe ni kujikosha kwa kipuuzi ilhali anafanya laana kubwa ya mziki ambayo kubwa kuliko uharamu wa pombe.
Yani ukimtaja Zuchu na Salum Kikeke hawafananii kabisa.
Salum Kikeke anafahamika angalau ameishi kwenye misingi kidogo ya sheria za uislam ila sio Zuchu.
 
Mkuu hapo nimekuelewa vizuri
 
Unaweza ukaleta ushahidi kuwa uislam dini ya shetani!?
Embu lete ushahidi hapa sisi tunasubiri.
Pia tumekusamehe maana huwenda ni mdogo kiumri ama mfinyu kiakili.
Lete huo ushahidi unaothibitisha uislam dini ya kishetani?
Kwani we hujasoma historia ya hizi dini za Abraham au unafuata tu mkumbo?
 
Back
Top Bottom