Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,752
- 4,267
Matumizi ya mabavu kwenye ardhi😁😁Mkuu sasa pale sasa hv wameanziaha msikitini manina hatutaki mambo ya kingese sisi...
Unajua hakuna machinjio now hapa markasi yote
Matumizi ya mabavu kwenye ardhi😁😁Mkuu sasa pale sasa hv wameanziaha msikitini manina hatutaki mambo ya kingese sisi...
Unajua hakuna machinjio now hapa markasi yote
Hapana unakuta hata makafr hawapendi nguruweMatumizi ya mabavu kwenye ardhi😁😁
One day utakuja kuniamini mkuu mana watu wanasema Gen Z ni generation ya mwisho kuamini sana katika dini.Nilikua najua unajitambua kumbe we jamaa hamna kitu
Kuacha kula nguruwe au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa pia ni mchawiOne day utakuja kuniamini mkuu mana watu wanasema Gen Z ni generation ya mwisho kuamini sana katika dini.
Sasa wajukuu wako utaona watakabyo kuwa wagumu kuacha.
Naishia hapa.
kuna factor nyingi ili kuweka machinjio hasa maeneo yetu ya joto.Hapana unakuta hata makafr hawapendi nguruwe
Yaani mkuu kwani unavotetea mambo ya nguruwe kwani unalipwa weww aukuna factor nyingi ili kuweka machinjio hasa maeneo yetu ya joto.
Ni usalama wa afya zaidi sio wa kiimani.
Me najionea wengi tu yani watoto wadogo lkn kisungura anakimaliza na yupo vizuri.Kuacha kula nguruwe au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa pia ni mchawi
Ngurue haram kuliko pombeMe najionea wengi tu yani watoto wadogo lkn kisungura anakimaliza na yupo vizuri.
Sasa yajayo itakuwa kawaid kama nyama ya Kuku tu.
Sawa mkuu. ila nyama nyeupe ni ya afya kuliko nyama ya ng'ombeNgurue haram kuliko pombe
Ngurue nyama yake nyekunduSawa mkuu. ila nyama nyeupe ni ya afya kuliko nyama ya ng'ombe
Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍Mashallah mkuu karibu sana..
Sasa acha na kula ngurue achana na maneno yote ya kikafiri sawa ..
Nategemea sitoona maneno ya hovyo comment zako za badae
Hilo limeisha hiloKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Wabillah tauiq Mungu atufikishe peponi pamoja ndgu yangu katika imaniUislamu umekamilika Mash'Allah 😍
Wampe kitimoto atafune mbele yao ..kama shehk mazinge alivyo kimbia na mzani wa kupimia nguruwe na kuuza akanunua baiskeli....afanye kama huyuKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Amiin Amin atujalie mwisho mwema, pumzi isituhadae wala duniyaWabillah tauiq Mungu atufikishe peponi pamoja ndgu yangu katika imani
Mashallah mashallahAmiin Amin atujalie mwisho mwema, pumzi isituhadae wala duniya
Mkuu nguruwe ni mtamu sana, kobazi wanapitwa na mengi japo kuna wengine wanakula kisiri. Lakini yawezekana wewe mkuu huli.Yaani mkuu kwani unavotetea mambo ya nguruwe kwani unalipwa weww au
Madhambi yepi Tena 🤔 kwamba mm ni mtu wa dhambi sijawahi fanya mapenzi dhambi hapo iko wapi, mbamizwa kobaa?Mashallah mashallah
Mungu atusameh madhambi yetu