Kwan uliwahi kuona mtu amekufa kisa amekula Nguruwe?Jamaa niliwahi kataza hakuna kuitana kobazi humu ndani..
Alafu mkuu skia ngurue kalaaniwa kwann unampenda hv....
Hv ww usipokula nguruwe utakufa
Kavae nguo kwanzaKwan uliwahi kuona mtu amekufa kisa amekula Nguruwe?
Jibu swali acha taarabuKavae nguo kwanza
Watu hawafi ila ni kuwa nguruwe ana bactelia wengi hata mashekhe wanasema nguruwe ana minyoo haifi hata ukichemsha na volukanoJibu swali acha taarabu
😂😂😂We jamaaa una mambo ya kikafiri sana walaah hv hyo koba sijui mbamizwa ndi nini
Labda nikupe jibu sahihi mleta mada,maana umekuja vizuri na umeuliza.Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Nikuletee madhara ya ulaji wa nguruwe!?Kwan uliwahi kuona mtu amekufa kisa amekula Nguruwe?
Kalaaniwa na nani, au ndio zile hadithi zenu za kufikirika kama bikira 72Acha ujinga alafu ukiwa na mimi acha kuongea habari za huyo mdudu aliye laaniwa
We jamaa tushakuzoeaga ni mbishani.Mmekuja kumtetea kobaz mwenzenu 😂
Nyie makobazi hapa ndo mnaponichekesha, kitimoto ni haramu ila ukiwa na njaa ya kufa n ruksa kula 😂 sasa inakuaje haramu hy hy tena inakuwa halal
Kaa nayo tuuNikuletee madhara ya ulaji wa nguruwe!?
Unipe madhara ya nn? Sitak hayo madhara.Nikuletee madhara ya ulaji wa nguruwe!?
Nadhani Ww ndo hutak kuelewa na unaleta ubishi.We jamaa tushakuzoeaga ni mbishani.
Umeambiwa kukiwa na dharura umefika sehemu una njaa ya kufa hujala muda mrefu,ulipofika hakuna chakula kingine isipokua huyo nguruwe kula kuokoa maisha yako.
Nadhani wewe ni mtu mzima uliwahi kubanwa kiasi ukafanya jambo kinyume na utaratibu ili ujiokoe.
Hilo ndilo lililokusudiwa.
Hiki kichekesho n Kizuri 😂Watu hawafi ila ni kuwa nguruwe ana bactelia wengi hata mashekhe wanasema nguruwe ana minyoo haifi hata ukichemsha na volukano
Mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari na Mungu yaliyo yake Mungu. Hata soko la paka Atuletee ilimradi wateja wapoKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Ww unachokifanya n kucheza na akili za watu kama ambavyo huyo kikeke hapo anacheza na akili za hao wajumbe ili apate anachokitaka.Labda nikupe jibu sahihi mleta mada,maana umekuja vizuri na umeuliza.
Salum Kikeke kwa alichoahidi Wala hana dhambi na hapati dhambi na Yuko sahihi.
Kwasababu yeye anaishi katika nchi ama tawala isiyokua ya kiislam na Wala haiongozwi kiislamu.
Pia Wala hajavunja taratibu za kiislam kwasababu hao nguruwe hali yeye na Wala hafanyi biashara yeye. Bali yeye anaongoza watu wenye imani ya kula hao nguruwe.
Mbona hata mtume (s.a.w) alisaini makubaliano ya amani na kuishi nao chini ya paa Moja wayahudi?
Na nadhani wayahudi unafahamu Mila zao za vyakula vipoje.
Ila kama ingekua anatawala nchi inayoongozwa kiislam na sheria za kiislam basi asingepaswa kufanya alilofanya.
Kuna wapuuzi na mafala wengine wao wanafanya dhihaki ya udini.
Kheri yako mleta mada umekuja kwa kuuliza na hayo maelezo nilokupa ndio jibu sahihi.
WATALIA NA KUSAGA MENO 🔥Kalaaniwa na nani, au ndio zile hadithi zenu za kufikirika kama bikira 72
AiseeKwa mfano mimi Ninauza maziwa ya Paka kwa anayehitaji