HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ila pesa za mdudu siyo haramu,kuongezewa damu ya mlala mdudu pia siyo dhambi,kusafiri pamoja na mla mdudu siyo dhambi,kutibiwa na daktari mla mdudu siyo dhambi,nk waafrika acheni unafiki wa kijingaAcha ujinga alafu ukiwa na mimi acha kuongea habari za huyo mdudu aliye laaniwa