HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ila pesa za mdudu siyo haramu,kuongezewa damu ya mlala mdudu pia siyo dhambi,kusafiri pamoja na mla mdudu siyo dhambi,kutibiwa na daktari mla mdudu siyo dhambi,nk waafrika acheni unafiki wa kijingaAcha ujinga alafu ukiwa na mimi acha kuongea habari za huyo mdudu aliye laaniwa
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 Pepo utaiskia hv hvUmebarikiwa ungefunua nyuchi za mama zako ? Laana sumaka
Kitimoto nusu kitamu balaa na pilipil
Safi kasema ukweli maana soko lipo ila halipo wazi nguruwe anatolewa huko anapelekwa Dubai na Baadhi ya mashekhe wanahusika kwenye hiyo biasharaKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Asa huyo si mwanasiasa anahusika vipi na diniKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Kwan wanaobaka na kuua wanaptwa na balaa Gani?Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Kwahiyo hata kama wewe zous unaliwa Tako na wahuni, tukuache uishi maisha yako??Kwan
Kwan wanaobaka na kuua wanaptwa na balaa Gani?
Acha ushuzi we wakiume Kila mtu atavuna alichopanda siku ya mwisho
Saiv Kila mtu anaishi Kwa Imani yake ale nguruwe asile atajua yey
Kuanzia sasa nimekubali kurudi kwenye dini yangu aseeh😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 Pepo utaiskia hv hv
Mashallah mkuu karibu sana..Kuanzia sasa nimekubali kurudi kwenye dini yangu aseeh
Jifunze kuandika vizuri ili tukuelewe na kukujibuKada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Wew mkuu ujue kuna pepoIla pesa za mdudu siyo haramu,kuongezewa damu ya mlala mdudu pia siyo dhambi,kusafiri pamoja na mla mdudu siyo dhambi,kutibiwa na daktari mla mdudu siyo dhambi,nk waafrika acheni unafiki wa kijinga
Jamaa niliwahi kataza hakuna kuitana kobazi humu ndani..Nguruwe amelaaniwa Ila kuua na kuoa watoto sio laana 😂
Makobaz bhana mna vituko sana 😂
Hii dunia inahitaji ule rahaMashallah mkuu karibu sana..
Sasa acha na kula ngurue achana na maneno yote ya kikafiri sawa ..
Nategemea sitoona maneno ya hovyo comment zako za badae
Mkuu sasa pale sasa hv wameanziaha msikitini manina hatutaki mambo ya kingese sisi...Poor Brain ukifika relini pale upande wa kushoto kulikuwa na Machinjio ya mahi wetu 🐖.
We nambie kama tumbo la mtu mzima jalala nije niagize mguu tuuweke tumboni.
Mbona unakuwa mkali na nyama tamu na adimu kama ile?.
Nilikua najua unajitambua kumbe we jamaa hamna kituHii dunia inahitaji ule raha
NGURUWE NI MTAMU.
Acha upumbavu wako unajitafutia banMoja ya vitu duniani nilivyo waza kufanya ni kuuza nyama ya Nguruwe Iran na Saudi Arabia mana naona kuna wateja wengi na supply ni chache.