Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

One day utakuja kuniamini mkuu mana watu wanasema Gen Z ni generation ya mwisho kuamini sana katika dini.

Sasa wajukuu wako utaona watakabyo kuwa wagumu kuacha.

Naishia hapa.
Kuacha kula nguruwe au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa pia ni mchawi
 
Hilo limeisha hilo
 

Attachments

  • 20241226_180155.jpg
    63.1 KB · Views: 22
  • 20250504_141958.jpg
    67.1 KB · Views: 24
Wampe kitimoto atafune mbele yao ..kama shehk mazinge alivyo kimbia na mzani wa kupimia nguruwe na kuuza akanunua baiskeli....afanye kama huyu
 

Attachments

  • 6151829-8087202d841f26aa90be109fcb95585.mp4
    3.9 MB
Kwani kuna shida gani si anachumia tumbo lake ubunge , hata wakimwambia kula kidogo si atakula huyu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…