Kuanza kwako kunaonesha your desparate, uliechelewa maisha sasa unatafuta pa kufia, tafuta kazi upate sio kulialia wageni wanakuzibia. Dunia haina titi la kukunyonyesha ingia msituni winda au olewa ule bure...Huna akili wewe.
Yani mtu atoke China aje kufanya kazi ya Procurement bongo ? Hivi huwa mnatumia akili za miguuni kufikiri?
Wewe unaweza kwenda kufanya kazi ya HR south Africa au Rwanda ? Muwe mnasoma na miongozo ya ajira ya nchi zingine ikoje sio mnaandika pumba.
Kuna kazi za Wazawa lazima zilindwe kwa namna yoyote. Muwekezaji anakuja na experts tu ila wafagizi na kazi zingine lazima wawe Wazawa.
Mkuu mnaongea tu, unajua ilifika mahali 95% ya walimu wa English medium pamoja na wafanyakazi wa mahotelini walijaa waganda,wakenya, wazimbabwe etc na wengi walirudishwa kwao 2016!??.. Hatukatai kujichanganya na wageni Ila permits kutolewa holela kutarudi tena na watanzania tuna kasumba ya kujidharau na kubabaikia wageni. Sasa subiri uone mtifuano wake kwa wanaotoka vyuoni kukosa ajira. Watarudi mpaka wachina machinga waliojazana kariakoo kipindi cha JK. Mtu ana mtaji wa milioni 6 tu anakimbilia Tanzania tu.Kabisa. Kuwepo kwa wageni wengi hakumfanyi mtanzania mwenye sifa kukosa kazi. Wageni waje tu wafanye kazi. Haya mambo ya kusema wageni wanachukua kazi za wazawa ni ufinyu wa mawazo tu.
Ndio maana kasema watu wawe wabunifu wewe mfano nakuja kuanzisha kiwanda cha kuunda bdege Tanzania hakuna mainjinia kuunda ndege unataka nije na watu watano tu ni akili hiyo ? mtaji wangu mabilioni kodi nitalipa mabilioni kwa mweziNadhani sheria zipo wazi na mama analijua hilo. Maana yake nadhani anamaanisha wahusika wasibinye kutoa vibali ikiwa sheria inaruhusu.
Sawa mkuu, nimekuelewa. Ila kumbuka hata huko ulimwenguni kuna watanzania wenzio wanatamani sheria za huko waliko zilegee ili waweza kufanya kazi. Kuna siku wanao watahitaji kufanya kazi nje ya nchi na watakumbana na ubaguzi wa sheria kama huu.Mkuu mnaongea tu, unajua ilifika mahali 95% ya walimu wa English medium pamoja na wafanyakazi wa mahotelini walijaa waganda,wakenya, wazimbabwe etc na wengi walirudishwa kwao 2016!??.. Hatukatai kujichanganya na wageni Ila permits kutolewa holela kutarudi tena na watanzania tuna kasumba ya kujidharau na kubabaikia wageni. Sasa subiri uone mtifuano wake kwa wanaotoka vyuoni kukosa ajira. Watarudi mpaka wachina machinga waliojazana kariakoo kipindi cha JK. Mtu ana mtaji wa milioni 6 tu anakimbilia Tanzania tu.
Mwekezeji binafsu hata ndani ya nchi hujaza watu wake anaowaaminiNikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Msijione mnajua saaaana kufikiri kumbe alicho maanisha mh Rais sicho mlicho kielewa ninyi.HILI NILILISEMA KWA RAFIKI YANGU PUNDE TU BAADA YA KULIONGELEA. HAPA RAIS AMEBEBA USHAURI WA JUMLA AMBAO HAJAFANYA TAFITI.
Kashaanza kutoa boko.Tumpe muda, lakini yapo mambo yanatia mashaka. Hilo la vibali vya kazi na jingine alilosema hazina wakiona misamaha ya kodi ipo juu ya uwezo wao wampelekee si mambo ya kushangiliwa.
Nilikuwepo awamu ya Mwinyi, nimeanza kuwa na mashaka huyu anaweza kuwa rais ovyo kabisa kuliko hata alivyokuwa Mwinyi.
Sheria inataka wasizidi watano. Wewe unaleta porojo kwa mwamvuli wa clarificationMimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Mkuu hiyo inafaa nchi za ulaya na Marekani ambapo wapo level nyingine. Kwa nchi zetu za Africa na uchumi wetu kila mtu akae kwao ikibidi. Kwa tulivyo na tatizo la kiingereza na tunavyobabaikia wageni ukitoa vibali vya kazi kiholela tutalia na kusaga meno. Nakuhakikishia watajaa wakenya na wazimbabwe mpaka maredioni sababu tu wanaongea English nzuri. Na hivyo hivyo ukienda kuchukua ajira nchi za Africa zenye shida ya ajira hata wewe unajiona kabisa umechukua ajira zao labda iwe level za juu sana za mishahara minono. Kati ya 2010 na 2015 bongo walijaa waturuki kibao wa fani mbali mbali tena vichwani weupe tu kwa kupitia zile permits za $50 miezi mitatu mitatu.Sawa mkuu, nimekuelewa. Ila kumbuka hata huko ulimwenguni kuna watanzania wenzio wanatamani sheria za huko waliko zilegee ili waweza kufanya kazi. Kuna siku wanao watahitaji kufanya kazi nje ya nchi na watakumbana na ubaguzi wa sheria kama huu.
Clarification gani acha watu waje wakija watakula, watavaa, watatibiwa, hizo ni ajira kwa watu na pia hawawezi kuja wengi kwamba watamaliza ajira.Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Hujui unachoongea hapa. Kwa suala la expatriate hilo halina shida, ila wawekezaji wengi wanatumia mwanya huo kuleta vibarua (makanjanja) wenye kufanya kazi za kawaida ambazo graduate wa udsm anaweza kufanya huku zile kazi za vibarua wakipewa wazawa. Kuna kampuni naijua, wao kipindi cha Jk walileta mpaka weighbridge operator, wahasibu, mafundi mchundo, store keepers yani watu kibao kutoka uhindini na Pakistan. Yani mtu anafanya kazi za fundi mchundo ila permit inasoma ni manager expart so n so. Alipokuja JPM, walipukitishwa wote yani wakabaki wale expart kweli na hizo kazi vijana wa veta wakazichukua ila wajamaa hawakupenda na walimchukia mwendazake vibaya mno. So mleta Mada namwelewa vizuri anaposema lazima serikali iwe makini kulinda ajira za wazawa. Hata huko nje unakokusema, wenyewe wanalinda ajira zao vilevile.Mtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama. Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
Mkuu The Boss, nilichomwelewa mama ni kwamba, mwekezaji anakuja na wafanyakaz kutoka nje wale wanaukubalika kisheria, baada ya miaka mitatu wakitaka kurenew vibali, wananyimwa, wanalazimishwa waajiri watanzania. SASA kama ndo mtu anaemwamini vipi umnyime kibali ulazimishe aajiri watanzania na hajavunja Sheria yoyote ile?? Bora mwanzo angeambiwa baada ya miaka mitatu hatutakuruhusu kurenew kibaliNikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka.
Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake... wengine atattakiwa kuajiri wazawa..
Hii sheria haina shida iwapo inafuatwa.
Na sheria inasema iwapo kutakuwa na nafasi ambayo hakuna mzawa anaiweza anaruhusiwa kuongeza mgeni Kwa nafasi hizo.
Nahofia kauli ya Rais Samia inaweza tafsiri kuwa sasa ni ruksa kuajiri wageni as many as you want...bila idadi
Ni vizuri Mama akashauriwa kutoa maelekezo Kwa mujibu wa sheria.
Mkuu The Boss, nilichomwelewa mama ni kwamba, mwekezaji anakuja na wafanyakaz kutoka nje wale wanaukubalika kisheria, baada ya miaka mitatu wakitaka kurenew vibali, wananyimwa, wanalazimishwa waajiri watanzania. SASA kama ndo mtu anaemwamini vipi umnyime kibali ulazimishe aajiri watanzania na hajavunja Sheria yoyote ile?? Bora mwanzo angeambiwa baada ya miaka mitatu hatutakuruhusu kurenew kibali
Hujui unachoongea hapa. Kwa suala la expatriate hilo halina shida, ila wawekezaji wengi wanatumia mwanya huo kuleta vibarua (makanjanja) wenye kufanya kazi za kawaida ambazo graduate wa udsm anaweza kufanya huku zile kazi za vibarua wakipewa wazawa. Kuna kampuni naijua, wao kipindi cha Jk walileta mpaka weighbridge operator, wahasibu, mafundi mchundo, store keepers yani watu kibao kutoka uhindini na Pakistan. Yani mtu anafanya kazi za fundi mchundo ila permit inasoma ni manager expart so n so. Alipokuja JPM, walipukitishwa wote yani wakabaki wale expart kweli na hizo kazi vijana wa veta wakazichukua ila wajamaa hawakupenda na walimchukia mwendazake vibaya mno. So mleta Mada namwelewa vizuri anaposema lazima serikali iwe makini kulinda ajira za wazawa. Hata huko nje unakokusema, wenyewe wanalinda ajira zao vilevile.
Sawa mkuu.Hujui unachoongea hapa. Kwa suala la expatriate hilo halina shida, ila wawekezaji wengi wanatumia mwanya huo kuleta vibarua (makanjanja) wenye kufanya kazi za kawaida ambazo graduate wa udsm anaweza kufanya huku zile kazi za vibarua wakipewa wazawa. Kuna kampuni naijua, wao kipindi cha Jk walileta mpaka weighbridge operator, wahasibu, mafundi mchundo, store keepers yani watu kibao kutoka uhindini na Pakistan. Yani mtu anafanya kazi za fundi mchundo ila permit inasoma ni manager expart so n so. Alipokuja JPM, walipukitishwa wote yani wakabaki wale expart kweli na hizo kazi vijana wa veta wakazichukua ila wajamaa hawakupenda na walimchukia mwendazake vibaya mno. So mleta Mada namwelewa vizuri anaposema lazima serikali iwe makini kulinda ajira za wazawa. Hata huko nje unakokusema, wenyewe wanalinda ajira zao vilevile.