Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Bado nchi inaongozwa na matamko na hotuba. Kila nchi duniani wamelipa kipaumbele suala la uhamiaji.Nafikiri tatizo la nchi yetu ni kutofata sheria.
Tunachukulia kauli ya Rais kama ndiyo sheria yenyewe.
Miaka ya nyuma mambo yaliendeshwa kiholela mpaka raia wa kigeni walimiliki pasi za Tanzania.