Kuna wahitimu wa darasa la saba, form four na wale waliosomea vyuo vya VETA upishi, garden, cleaning etc.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] msiba huu, kwahiyo waajiriwa wa vyuo watapata kazi za house boy na kufua sidiria za wageni
Kuna wahitimu wa darasa la saba, form four na wale waliosomea vyuo vya VETA upishi, garden, cleaning etc.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] msiba huu, kwahiyo waajiriwa wa vyuo watapata kazi za house boy na kufua sidiria za wageni
Uko sahihi mtaji wa kwakeRais yupo sahihi, msisitizo uwekwe kwenye idadi. Sio kumuamulia mwekezaji huyu muajiri huyu usimuajiri.
Muwekezaji apewe idadi ya wageni tu anaopaswa kuwaajiri na asivuke iyo idadi basi. Kumuamuria Nani amuajiri na Nani asimuajiri ilo sio sahihi.
Mtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa Mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama.
Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
Hakuna Mwekezaji ataleta watu kutoka nje kama atapata reliable work force. Kwa hiyo let’s stop beating around bush and ask our selves why should an investor bring expensive labor force from abroad??Local content law inataka wazawa wanufaike na uwekezaji wako. Ikiwa wawekezaji watakuja na watu wao basi tusahau ajira kwa wazawa. Hiyo sheria inamlinda mzawa ili aanufaike na ajira baada ya mwekezaji kuja kuwekeza.
Ile ilikuwa wrong wrong! Ila kuna vitu vya msingi vibadilishwe kwa tafiti na watu waadilifu. Ukiona unapendwa tu kila unachosema hilo ni tatizo. Huko mbele mzito utamuelemea wanaoshangilia sasa ndio watakuwa wa kwanza kumsulubu.
Uko sahihi mfaano.miji mi gi mikubwa city centre haijajengwa na wazawa Tanzania ni wahindi ndio wamejengaMarekani haijajengwa na wazawa. Canada haijajengwa na wazawa, South africa haijajengwa na wazawa. Wageni wanachochea ukuaji wa uchumi.
Wageni waajiriwe pale ambapo hakuna Mtanzania mwenye qualifications husika. Mwekezaji anaweza kuruhusiwa kuajiri wasio Watanzania labda 10% au hata 20% lakini watakaobaki ni lazima wawe Watanzania unless hakuna wenye hizo qualifications husika.
Hakuna nchi duniani inayodili na utumikishwaji wa kazi za nyumbaniKuna wahitimu wa darasa la saba, form four na wale waliosomea vyuo vya VETA upishi, garden, cleaning etc.
Tatizo kubwa liko kwa Wachina wanaokuja na vibarua wao au wanakuja kufanya umachinga Kariakoo.
Hata bila idadi ni sawa long as wanalipa kodi
Mkuu hawa ingekuwa amri yangu ningewapiga marufuku kuingia nchini kama wawekezaji au kuwawekea masharti magumu zaidi. Ni watu wabaya sana na wengi wanazamia nchini na ni watu ambao wanavunja sana sheria zetu nchini ikiwemo kupiga Watanzania.
Hotel employees needs to understand the basic needs for a guest such as language,politeness and not canning,giving service which is utmost important and attention to details and assuming the guest is an idiot or a cow to be milked or cheated into getting poor service .So most Hotels will have to hire people with qualifications that serve their needs.Have you ever visited uk trip advisor and read reviews about same Tanzanian lodges it will help in answering your questionsKwa nini shule binafsi na hoteli zinapenda kuajiri walimu na wafanyakazi kutoka nje wakati wangeweza kuwaajiri wa hapa nchini na wasiingie gharama za kulipia vibali vya kazi?
Nenda China watanzania kibao wako kule wanafanya umachinga miji kibao kule wengine wanauza hadi magenge ya vyakula ukiwatimua hapa wachina Ariakoo na wao wanawatimua watanzania wote walioko kule china wanaofanya umachingaTatizo kubwa liko kwa Wachina wanaokuja na vibarua wao au wanakuja kufanya umachinga Kariakoo.
TUANGALIE TULIPOTIKA,
TULIPOJENGEWA MKAPA STADIUM MPAKA MBEBA KARAI ALITOKA CHINA NA KIMRADI KIDOGO WACHINA WALIJAZANA
TULIKUWA TUNAAMBIWA NI WAFUNGWA NA BLA BLA KAMA HIZO. LAKINI ANGALIA SGR NI MRADI MKUBWA MARA 500 YA UJENZI WA UWANJA MPIRA LAKINI WAGENI AMBAO NI WATURUKI WACHACHE MNO.
NISAIDIENI WANAJAMVI HAWA WAWEKEZAJI TANGU TULIPOANZA KUIMBISHWA HUU WIMBO WAMEWEKEZA WAPI MPAKA HATA TUPINDISHE SHERIA ZA NCHI KUWA FAVOR WAO .