Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ndipo tunatakiwa tuelekee huko kama itakuwa na manufaa kwetu. Kuna nchi nyingine zilizoendelea wanafanya hivyo.
Tukisema tuwasikilize WAWEKEZAJI siku watakuja kuomba PASSPORT kwa kisingizio cha kutaka kulinda rasilimali zao.