Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
The cure shouldn't be worse than the disease itself.
Hatuhitaji wawekezaji uchwara waliopo kuhujumu uchumi.
Ila makampouni kama ya ujenzi wakileta wahandisi wao wa kichina kama wale walojenga hiyo barabara yenu ya mduara kwenda Mbinga.
Hizi sheria za kulinda soko la ajira la ndani lipo duniani kote kwenye nchi zinazojitambua.
Soko la ajira la ndani ni muhimu kwa ustawi wa jamii ya nchi nzima.
It has to be protected at all cost.