My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Vipi mchaga? Upo?Hata huyo magufuli uliyemuweka kwenye avatari yako alikuwa mtu wa dilidili sana
Kwa lipi?Mawakala wa mwendazake wanapitia comment kimyakimya
Umemsikia mwenye Saccos Mwenyekiti wa maisha Faru John?Mawakala wa mwendazake wanapitia comment kimyakimya
Ana wafuasi wake hao huwaambii kitu, hata akiwaomba taako wanampa.Hivi Athumani Diwani wa TISS yeye anatokea Mtwara sehemu gani?
Mtu una akili timamu kweli unaweza kumsikiliza zero brain Mbowe?...
RelaxMada inasema Faru John ana ukabila sana! Jadili mkuu.
Au mwanakwendaHahahahahaha eti unamsemesha mwendazake [emoji23]
Mimi niko relaxed mkuuRelax
Eti "watu wengi" hakuna mpuuzi mwenye ushawishi wakijinga Kama lile shetani. Lifufuke afu life tena!!! Manina zakeJPM analindwa na BARAKA za watu wengi sana tena sana and it's world wide, hio laana yako haina mashiko.
By the way Nenda youtube angalia kampeni zake huko kwa wachagga 2020 hio chuki unayomtengenezea haina njia ya kupenya
Habari za Pwani mkuu?Au mwanakwenda
Nenda website ya utumishi angalia majina ya walioitwa kazini then rudi hapa, inaonekana ni muumini wa story za vijiweniSiyo vema sana kuongelea mambo ya ukabila hapa Tanzania, lakini kwa hakika vitendo vya Rais Magufuli vinatulazimisha tuingie huko.
Magufuli alikuwa very clear katika chuki yake dhidi ya Wachagga. Unaweza kuelewa chuki yake kwa kiasi fulani. Nyerere alikutana na "The Chagga Problem" katika elimu. Kutokana na uchagani kuwepo shule nyingi za msingi, Wachagga wengi zaidi walikuwa wakiingia sekondari kuliko makabila mengine. Hili lilikuwa bomu. Nyerere akaja na solution. Quota system. Idadi maalum ikagawanywa kila mkoa, ili kutoa fursa sawa kwa mikoa yote, hata kama inamaanisha kuna vijana wa kichaga waliofaulu vizuri wataachwa ili kuchukua wa mikoa mingine wenye ufaulu wa chini.
Nyerere alifanya haya bila chuki yoyote dhidi ya Wachagga.
Magu ni tofauti. Alibomoa Kimara kwa ukatili usio na kipimo, akijua wamejaa Wachagga, wakati kule Mwanza alisitisha bomoabomoa, akitangaza bila aibu, mchana kweupe, MSIWABOMOLEE HAWA WALINIPA KURA!!
Magufuli alichukia sana Wachagga. Maeneo mengi kawaondoa, lakini badala yake kajaza wasukuma wengi mno, na kwa hiyo hatatui chochote, bali anatia chumvi nyingi mno kwenye kidonda.
Wakati Nyerere alikuwa anapambana na ukabila, Magu kaurejesha kwa kasi
..Diwani ni MPARE.Hivi Athumani Diwani wa TISS yeye anatokea Mtwara sehemu gani?
Mtu una akili timamu kweli unaweza kumsikiliza zero brain Mbowe?...