Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
JPM analindwa na BARAKA za watu wengi sana tena sana and it's world wide, hio laana yako haina mashiko.

By the way Nenda youtube angalia kampeni zake huko kwa wachagga 2020 hio chuki unayomtengenezea haina njia ya kupenya
 
Kwanza tu Mimi siwezi kuona Ajira au teuzi au fursa yoyote nikaanza kuangalia kuna Watu wangapi wa kabila langu.
Mtu yeyote anaefanya hivyo atakua ni mkabila Sana tena sanaaa kupindukia.
Itakua kitambo walikua wanafanya hivyo na walitengeneza mfumo wa kupena ajira kikabila ilipotokea mfumo huo umepigwa teke imekua ni tatizo ndio lawama zote hizi.
Hivi nchi hii ina makabila mangapi? Makabila yote yakitaka kuteuliwa na kugawana Ajira Kwa usawa Kwamba kila kabila lipate Hilo kabila wanalolalamika watakubali?
Kwakweli tufanye yote lakini kuna baadhi ya watanzania ni wakabila Sana na hawafai kupewa nafasi za maamuzi watatuletea shida Sana watu tusio na ukabila.
 
Hivi Athumani Diwani wa TISS yeye anatokea Mtwara sehemu gani?

Mtu una akili timamu kweli unaweza kumsikiliza zero brain Mbowe?...
Ana wafuasi wake hao huwaambii kitu, hata akiwaomba taako wanampa.
Kwenye utawala wa magufuli kimei amestaafu na kwenda kwenye siasa akapitishwa namwenyekiti wa chama huyu huyu magufuli akashinda, na sasa ni mbunge.

Lakini nyumbu na mchungaji wao, wanapandana tu.
 
JPM analindwa na BARAKA za watu wengi sana tena sana and it's world wide, hio laana yako haina mashiko.

By the way Nenda youtube angalia kampeni zake huko kwa wachagga 2020 hio chuki unayomtengenezea haina njia ya kupenya
Eti "watu wengi" hakuna mpuuzi mwenye ushawishi wakijinga Kama lile shetani. Lifufuke afu life tena!!! Manina zake
 
Mbona sisi wakara hatujapata ajira huko TRA na CRDB na hakuna wa kutusemea?
 
Tulimuachia Mungu akahangaika na ile takataka hadi akamalizana nayo.
 
Siyo vema sana kuongelea mambo ya ukabila hapa Tanzania, lakini kwa hakika vitendo vya Rais Magufuli vinatulazimisha tuingie huko.

Magufuli alikuwa very clear katika chuki yake dhidi ya Wachagga. Unaweza kuelewa chuki yake kwa kiasi fulani. Nyerere alikutana na "The Chagga Problem" katika elimu. Kutokana na uchagani kuwepo shule nyingi za msingi, Wachagga wengi zaidi walikuwa wakiingia sekondari kuliko makabila mengine. Hili lilikuwa bomu. Nyerere akaja na solution. Quota system. Idadi maalum ikagawanywa kila mkoa, ili kutoa fursa sawa kwa mikoa yote, hata kama inamaanisha kuna vijana wa kichaga waliofaulu vizuri wataachwa ili kuchukua wa mikoa mingine wenye ufaulu wa chini.

Nyerere alifanya haya bila chuki yoyote dhidi ya Wachagga.

Magu ni tofauti. Alibomoa Kimara kwa ukatili usio na kipimo, akijua wamejaa Wachagga, wakati kule Mwanza alisitisha bomoabomoa, akitangaza bila aibu, mchana kweupe, MSIWABOMOLEE HAWA WALINIPA KURA!!
Magufuli alichukia sana Wachagga. Maeneo mengi kawaondoa, lakini badala yake kajaza wasukuma wengi mno, na kwa hiyo hatatui chochote, bali anatia chumvi nyingi mno kwenye kidonda.

Wakati Nyerere alikuwa anapambana na ukabila, Magu kaurejesha kwa kasi
Nenda website ya utumishi angalia majina ya walioitwa kazini then rudi hapa, inaonekana ni muumini wa story za vijiweni

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa la Nchi hii ni vyama hivi na watu wenye akili za milengo...Wewe chadema hata mkikosea hamtasema ukweli wala kujisahihisha.

Mnakaa Miaka yote hamna hata ofisi hilo wala hamsemi...Lakini mnataka mpewe Nchi...Hamna hata Ofisi ya kuweka japo kikao cha chama chenu.

Nyie mtaweza kuongoza Nchi?

Hamna hata namna bora ya kutatua migogoro.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom