Mlipofikia hapa ni zao la ukabila wenu wenyewe. Msitegemee mtu arekebishe kama nyie wenyewe hamrekebishi..Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma...
Mkuu inawezekana ukawa na point nzuri tu, lakini kuna mahala hauko sawa. Hivi ccm wamejenga ofisi ipi zaidi ya ile ya Chamwino ambayo wameijenga hapa juzi kati. Tena na yenyewe hatuna uhakika sana kama imejengwa na ccm yenyewe au ni mgongo wa serikali.Tatizo kubwa la Nchi hii Ni Vyama hivi na watu wenye akili za milengo...Wewe chadema hata mkikosea hamtasema ukweli wala kujisahihisha...Mnakaa Miaka yote hamna hata ofisi hilo wala hamsemi...Lakini mnataka mpewe Nchi...Hamna hata Ofisi ya kuweka japo kikao cha chama chenu...
Walianza na sukumagang now karma is a bit.chNyinyi wachaga ukabila utawamaliza tu na sasa ndiyo mnaelekea kubaya sana.
Diwani ni Mpare wa Samena sio mchagga. Nadhani nimekusaidiaHivi Athumani Diwani wa TISS yeye anatokea Mtwara sehemu gani?...
Hivyo vitakataka hapo ndio vunaonesha ccm imekataliwa?
Lile kaburi kule lililowekwa kwenye mabati na mashada yaliyonyauka ndio dalili tosha CCM imekataliwa?Hivyo vitakataka hapo ndio vunaonesha ccm imekataliwa?
Unawaza Mombasa😄Unataka wakupe vya bure mkuu,sogea hapo mombasa chap
Amesha kufa mungu wako harudi tenaHabari za Pwani mkuu?
Bia Shaka wewe ni kijana wa Jana...you should think deeper...usiingie kichwa kichwa kwenye michezo ya kisiasa...kauli za wanasiasa achana nazo...think deeper ..huyu mpuuzi anasema wachaga walikuwa wanabaguliwa...hawaajiwiri sijui uteuzi...anahamasisha machafuko...ni Nani unadhani atapoteza katika machafuko ya kikabila...unadhani makabila mengine yaliyobakiyatakuwa upande upi...je wachaga wako Kilimanjaro tu? Can you afford kuwaacomodate wachaga wore walioko nje ya Kilimanjaro? Je ni kweli wachaga wanabaguliwa? Watch out Son....Waigbo kile Nigeria walikuwa na mawazo Kama hayo ya mpuuzi Mbowe...wewe hukuwepo enzi hizo, sisi wengine tulikuwepo...usicheze na machafuko ya kikabila na pia dini....kile central Africa ilitokea miaka michache iliyopita...chungeni ndimi..ni hatari...mwacheni mpuuzi Mbowe aendelee na upuuzi wake..Hahahaha we don't loose, we either win or learn! Hivi kuna mtu alikua na kauli za kipuuzi kama huyo marehemu?
Kwa upeo wake wa kufikiri, inaonekana ni hivyo. Au wewe unadhani sababu gani hasa iliyomfanya akasababisha vifo vya watu wengi kwa ile bomoabomoa, hata pale mahakama ilipotoa zuio, ole wako uweke STOP ORDER ya mahakama kwenye nyumba yako. Waliofanya hivyo, pamoja na viongozi wa waliokwenda mahakamani, walibomolewa usiku, maana yake hutoi hata kijiko.
Wewe unadhani sababu gani hasa alikuwa katili hivyo kwa watu wa Kimara, Mwanza akawa mpole namna ile, kwamba msiwabomolee hawa walinipa kura? Kumbuka hiyo kuzuia bomoabomoa Mwanza imetokea mara mbili
Wapare sio wakaskazini? Ama ni wa Songea..Diwani ni MPARE.
Nenda CRDB zote nchi nzimaNenda TRA Arusha wachaga watupu,wanaubaguzi sana hawa jamaa,zamani nijua Wahaya lakini nilipokaa Arusha ndo nakaona hawa ni kiboko.
hapo ndo nilielewa na maana ya chasaka.
Amesema wakaskazini ama ni wa kusini huyu?Diwani ni Mpare wa Samena sio mchagga. Nadhani nimekusaidia
Kukata mzizi wa Fitina cdm waweke ushahidi mezani. Kama ikibainika ni kweli yafanyike mabadiliko ya haraka maana tutaingia kwenye vita ya ukabila.Hahahahaha wachaga bhana ndo mmeamua kumtuma mwenyekiti wa chama chenu kuwasemea?....
Mbowe anazungumzia chagga tribe na sio zone ya kaskazini. Punguza mihemkoWapare sio wakaskazini? Ama ni wa Songea
Ameanza na wakaskazini kisha akasemea wachaga kabila lake.Mbowe anazungumzia chagga tribe na sio zone ya kaskazini. Punguza mihemko
Sio mkaskazini?Diwani ni Mpare wa Samena sio mchagga. Nadhani nimekusaidia