tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Tuseme tu ukweli ndugu zangu wa Chadema kuwa Mwenykt wetu Mbowe KATOA BOKO
Kauli yake inadhihirisha wazi ajenda ya SIRI iliyo ndani ya Chadema, kwamba ni kutetea maslahi ya kabila lake la wachaga
Je, sisi ambao ni wanyakyusa tuanzishe chama chetu cha siasa kwaajili ya kufatilia ni wanyakyusa wangapi wamepata ajira au kutenguliwa Serikalini!?
Wanyantuzu, wasambaa, wahaya, wanyaturu, wakinga etc wote nao waanzishe vyama vyao vya siasa kudeal na hii kauli ya Mbowe
Hapa ndio naamini kwamba WARAKA WA MAREHEMU CHACHA WANGWE ULIKUWA MKWELI MTUPU KUHUSU HII CHADEMA