Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Tuseme tu ukweli ndugu zangu wa Chadema kuwa Mwenykt wetu Mbowe KATOA BOKO

Kauli yake inadhihirisha wazi ajenda ya SIRI iliyo ndani ya Chadema, kwamba ni kutetea maslahi ya kabila lake la wachaga

Je, sisi ambao ni wanyakyusa tuanzishe chama chetu cha siasa kwaajili ya kufatilia ni wanyakyusa wangapi wamepata ajira au kutenguliwa Serikalini!?

Wanyantuzu, wasambaa, wahaya, wanyaturu, wakinga etc wote nao waanzishe vyama vyao vya siasa kudeal na hii kauli ya Mbowe

Hapa ndio naamini kwamba WARAKA WA MAREHEMU CHACHA WANGWE ULIKUWA MKWELI MTUPU KUHUSU HII CHADEMA
 
Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma...
Mlipofikia hapa ni zao la ukabila wenu wenyewe. Msitegemee mtu arekebishe kama nyie wenyewe hamrekebishi..
 
Yaan magu anasimangwa mpaka leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo kubwa la Nchi hii Ni Vyama hivi na watu wenye akili za milengo...Wewe chadema hata mkikosea hamtasema ukweli wala kujisahihisha...Mnakaa Miaka yote hamna hata ofisi hilo wala hamsemi...Lakini mnataka mpewe Nchi...Hamna hata Ofisi ya kuweka japo kikao cha chama chenu...
Mkuu inawezekana ukawa na point nzuri tu, lakini kuna mahala hauko sawa. Hivi ccm wamejenga ofisi ipi zaidi ya ile ya Chamwino ambayo wameijenga hapa juzi kati. Tena na yenyewe hatuna uhakika sana kama imejengwa na ccm yenyewe au ni mgongo wa serikali.

Ofisi zote za ccm nchi nzima pamoja na vitega uchumi vingi vilijengwa enzi za chama kimoja, ambapo kila mtu alichangia ujenzi huo, haikujalisha wewe ulikuwa mwanachama au la, ilimradi ulikuwa mtanzania ulilazimika kuchangia ujenzi wa chama, hata hao unaowaona ni wapinzani wamechangia jasho lao kuijenga ccm.kuanzia mali, fedha na nguvu kazi. Kwani chama ndio kilishika hatamu.

Hivyo ccm haina cha kujivunia katika hilo, kilichofanyika ccm kama ilivyo kawawida yao wamepora mali ya wananchi na kuifanya ni ya ccm.

Jielimisha kidogo kwa historia kabla ya kutoa lawama zako mkuu.
 
Tanzania Kuna makabila zaidi ya 128 lakini kila kukicha naona Ndugu zetu wachagga wanaandamwa Sana kosa lao kubwa kuliko makabila yote ni lipi?

Je, ni kweli wachaga is an enemy of the people? Kama ndio walifanya nini?

Kama hapana kwa Nini wanakuwa attacked?
 
Hahahaha we don't loose, we either win or learn! Hivi kuna mtu alikua na kauli za kipuuzi kama huyo marehemu?
Bia Shaka wewe ni kijana wa Jana...you should think deeper...usiingie kichwa kichwa kwenye michezo ya kisiasa...kauli za wanasiasa achana nazo...think deeper ..huyu mpuuzi anasema wachaga walikuwa wanabaguliwa...hawaajiwiri sijui uteuzi...anahamasisha machafuko...ni Nani unadhani atapoteza katika machafuko ya kikabila...unadhani makabila mengine yaliyobakiyatakuwa upande upi...je wachaga wako Kilimanjaro tu? Can you afford kuwaacomodate wachaga wore walioko nje ya Kilimanjaro? Je ni kweli wachaga wanabaguliwa? Watch out Son....Waigbo kile Nigeria walikuwa na mawazo Kama hayo ya mpuuzi Mbowe...wewe hukuwepo enzi hizo, sisi wengine tulikuwepo...usicheze na machafuko ya kikabila na pia dini....kile central Africa ilitokea miaka michache iliyopita...chungeni ndimi..ni hatari...mwacheni mpuuzi Mbowe aendelee na upuuzi wake..
 
Kwa upeo wake wa kufikiri, inaonekana ni hivyo. Au wewe unadhani sababu gani hasa iliyomfanya akasababisha vifo vya watu wengi kwa ile bomoabomoa, hata pale mahakama ilipotoa zuio, ole wako uweke STOP ORDER ya mahakama kwenye nyumba yako. Waliofanya hivyo, pamoja na viongozi wa waliokwenda mahakamani, walibomolewa usiku, maana yake hutoi hata kijiko.

Wewe unadhani sababu gani hasa alikuwa katili hivyo kwa watu wa Kimara, Mwanza akawa mpole namna ile, kwamba msiwabomolee hawa walinipa kura? Kumbuka hiyo kuzuia bomoabomoa Mwanza imetokea mara mbili

The irony ni kuwa kuna baadhi ya nyumba za wasukuma na wengine wa kanda ya ziwa zilizobomolewa kule Kimara. Nawafahamu. Aidha, sitashangaa kusikia kuna wachaga walisevu kule Mwanza.

Nia mbaya ilikuwepo, hakuna ubishi, lakini si rahisi kuwatenganisha Watanzania. Wachaga na makabila mengine wamejaa CCM na CHADEMA pia. Na wamechangamana sana kijiografia na kijamii hasa mijini. Si rahisi kuchochea uhasama wa kikabila katika jamii yetu. Tatizo liko kwenye kizazi cha makada uchwara wa vyama vya siasa wanaomezeshwa misimamo mikali ya maangamizi.

Baadhi ya kauli za Magufuli kuhusu “Kaskazini” na wachaga hazikuwa njema na ni budi zikosolewe na zisiendekezwe bila kusahau kuwa CCM imekuwa ikitumia kauli za aina hiyo mambo yakiwa magumu wakati wa kampeni hasa kuanzia 2010 (Rej. Ridhiwani kuhusu Rais wa JMT kutoka Kaskazini).

PIA itakuwa vyema mtu kama Mbowe akiepuka jazba katika kujadili kero za Mwendazake katika mambo nyeti ya kitaifa. Tunajua uonevu na msoto waliopata kipindi hicho. They have our sympathy. But they need to appreciate that Mama Hon. SSH anarekebisha taratibu. Wakati muafaka itakuwepo fursa ya kumchagiza aongeze kasi na upeo ikionekana kuna yanayopotezewa.
 
Nenda TRA Arusha wachaga watupu,wanaubaguzi sana hawa jamaa,zamani nijua Wahaya lakini nilipokaa Arusha ndo nakaona hawa ni kiboko.
hapo ndo nilielewa na maana ya chasaka.
Nenda CRDB zote nchi nzima
 
Diwani ni Mpare wa Samena sio mchagga. Nadhani nimekusaidia
Amesema wakaskazini ama ni wa kusini huyu?

Mzee wa Aoma hiyo alikua mtu wa Lindi?
Kimei alikua wa Sumbawanga? Anna Mgwira alikua aa Masasi?
 
Hahahahaha wachaga bhana ndo mmeamua kumtuma mwenyekiti wa chama chenu kuwasemea?....
Kukata mzizi wa Fitina cdm waweke ushahidi mezani. Kama ikibainika ni kweli yafanyike mabadiliko ya haraka maana tutaingia kwenye vita ya ukabila.

Japo haya mambo yapo ya Raisi kusaidia kabila lake zaidi maana chato nayo ilipendelewa waziwazi hivyo sioni ajabu mbowe kutetea kabila lake
 
Mbowe anazungumzia chagga tribe na sio zone ya kaskazini. Punguza mihemko
Ameanza na wakaskazini kisha akasemea wachaga kabila lake.

Hivyo alichokisema ndio nachokiongelea na mimi.

Mbowe ni mfano halisi wa kabila la wachaga, wabinafsi, wakabila, wenye tamaa na mbaya zaidi wanamtumia zero brain Mbowe awasemee.

Mbowe anaongopa waziwazi eti hakuna mchaga alieajiriwa, Kimei ni msukuma? Aggrey Mwanri ni Mpogolo?

Chadema uongozi mtaishia kuusikia kwenye radio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom