Mbowe ameathiriwa sana na siasa za kina Kigogo
Kariakoo yote ni wachagga na sisi wakinga,Wachaga ni kama wahindi wanapenda biashara
Ipo videoHii si kweli, Ila pia sina imani na chanzo Cha habari, mbowe hawezi kusema hivyo
Umeandika kwa uchungu na kumaanisha.Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..
Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..
Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...
Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
MpareDiwan athuman ni msukuma?
Acha pumba zako, ulishuhudia jinsi JPM alivyopokelewa uchagani wakati wa kampeni?Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..
Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..
Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...
Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Ni nani aliajiriwa kama nani?Diwan athuman ni msukuma?
Mpaka hapa inaonekana kabisa Chadema ina Sera za kikabila.
Ni kweli na Jerry Muro amewahi kukiri hivyo baada ya Magufuli kufariki, alisema kwenye Utawala wa Magu ilikua ngumu sana kupenya hasa kama mtu anatokea kaskazini". Je Jery Muro nae anatudanganya? Nikipata ile clip nitaipandisha hapa.
Si kweli.Serekali ilijaa Kanda ya ziwa ndo maana wasukuma wanaona nchi ya kwao wamejisahau
Niliwahi kupost humu kuhusu Jery Muro akithibitisha hili, wacha niitafute
Kwani dawa ya mtu muovu ni nini...Acha pumba zako, ulishuhudia jinsi JPM alivyopokelewa uchagani wakati wa kampeni?
Niliwahi kupost humu kuhusu Jery Muro akithibitisha hili, wacha niitafute
Acha pumba zako, ulishuhudia jinsi JPM alivyopokelewa uchagani wakati wa kampeni?