Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Sehemu uliyonukuru inatisha. Kwamba Magufuli alitoa maagizo kuwa ni marufuku kuajiri Mchaga kwenye taasisi ya Serikali au ya Umma kwa ujumla! Hii ni kauli nzito sana inayochonganisha makabila. Vyombo husika inabidi vifuatilie kujua ukweli wa suala hilo, na Mbowe atoe ushahidi wa aliyoyasema. Ikidhihirika kwamba ni kweli hayo yalisemwa, hatua muafaka zichukuliwe kukemea hilo na kurekebisha mambo. Kama akishindwa kutoa ushahidi, kadhalika hatua stahili zichukuliwe dhidi ya matamshi hayo yanayoweza kuleta sintofahamu nchini.
 
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Tatizo lako ulikimbia shule badala ya kutoa hoja unaongea utumbo
Sasa kwa akili hii ulitaka upewe ajira ipi?
Hata ukipewa ushenga utaharibu
 
Magu alipambana na ukabila kwa nguvu zote! Hapo kabla ilikuwa na kawaida sana kuona majina ya mushi, masawe, kimario, nk TRA, benki kuu, na mabenki yote nchini! Na wakiwa kwenye nafasi hizo, waliweka mifumo ya upigaji ambao Magu aliufumua kwa bomu la nyuklia! Hivyo Magu hakuchukia wala kuwatenga wachaga bali wapigaji bila kujali makabira yao! Kwa kuwa wengi wa wezi ktk vitengo vilivyoongoza kwa upigaji wachaga walikuwa wengi...wapumbafu wenye upeo finyu kabisa walihusianisha na chuki za kikabila😠! Wanasahau kuwa Magu aliwateua wachaga wengi tu waaminifu kwenye teuzi zake nyingi!
Mbowe ni mkabila ndio maana hataacha kutetea wachaga! Hutasikia akiwasemea waha, wangazija, wamatumbi, wadengeleko nk bali wachaga kwani upeo wake ndipo unapogotea😡!
Kuna wakurugenzi wengi tu waliteuliwa na Magufuli, na wengine wakuu mbalimbali wa idara serikalini. Magu alizibiti mianya ya ulaji. Ila si kwamba aliwachukia wachaga. Kwa taarifa wasukuma na wachaga wameoana sana. Wanawake wa kichaga upenda wasukuma kwa madai kuwa wanajua kucare! Sijaona chuki yoyote baina ya wasukuma na wachaga.
Ila viongozi kama mbowe ndo anataka kupanda Siasa za chuki ya ukabila. Na mwenzie Lema, utasikia wanaongelea ukabila. Chadema inamatawi usukumani. Na wasukuma ni kabila kubwa linapatikana mikoa si chini ya sita. Achia kusambaa Tanzania nzima kwa wingi wao hadi nchi jirani ya Zambia. Ni kabila ambalo ni wapole na hawana ubaguzi. Pale Mwanza ilemela walisha wahi kuwa na mbunge ambae ni Mchaga. Na walimpenda na kumheshimu.
Huyu Mwenyekiti Mbowe, aangalie namna ya kujenga chama si kuanza ukabila. Ndo haya yatatokea ya Ethiopia ambako kabila moja uonesha dharau kwa kabila nyingine, na kujiona wao wako juu, na hata kuanza kujenga chuki. Sasa kuna vita isiyoisha.
Mbowe naona sera zimekuishia umebaki ukabila. Achana na hayo mambo kuza chama si kubaki kumlalamikia marehemu ambae hata hakusikii wala hawezi kukujibu.
 
Tusisahau pia wezi wakubwa nchi hii ni wachaga iwe Taasisi za umma ama Taasisi binafsi,
Yani hata biashara zao zinakua na mengi nyuma yake,wapo radhi kudhulumu wapate fedha.

Mshawahi pia kujiuliza kwa nn wachaga wengi ndo waunda vyama vya kisiasa na vyama vya kijamii kama human rights?Ni wao na ndugu zao na wanapiga hela huko kwa kisingizio cha misaada.
Hebu nendeni hata Taasisi za makanisa muangalie huko.

Hili Kabila wanatakiwa kuambiwa ukweli,ni wezi sanaaaa na walijazana TRA,TPA,NMB,CRDB wakiibia nchi hii miaka nenda Rudi.

Kwa Sasa wanajarbu kulazimisha na wasukuma nao waonekane wakabila wakati si kweli na hawanaga huo ujinga
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Ni sawa tu mpaka leo mbowe mwenyewe hameshindwa kuachia chama aendeshe mtu mwingine alafu analalamika nini? Tatizo lao ni WATU WA DILI SANA.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hata Yule NW Ofisi ya WM, anaeshughulika na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Hamis Ndeliananga Ni Msukuma Wa Butundwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kufupisha stori CHADEMA waweke wazi bifu lao na wasukuma ili tuone mwisho wake. Wachaga jichanganyeni kwenye 18 za mambo ya kipumbavu ambayo yanahubiriwa na wasakatonge.
Wachagga na Wasukuma wenye akili zao hawawezi nunua hili wazo la ukabila

"Siasa za kijinga "
Si na wapenzi wetu wa kanda ile dada wasio na tamaa ya hela tunajilia vyetu . Anakutoa na hela ukimaliza
 
Wewe jamaa nimegundua ni mpumbavu sana.

Mimi kwetu Mara. Ni mzanaki pure.

Hujui hata unachooongea, uchagga umekujaa kama taahira.

Mbowe anaongelea AJIRA wewd unabweka hapa kuhusu TEUZI. Stupid
"Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma.
Mfano:

  • Mfugale
  • Kijazi
  • Kabudi
  • Pole pole
  • Bashiru"
Wewe Mkaruka ,hapo juu unazungumzia teuzi ama ajira!?
Mbona unaonyesha ukilaza wako hadharani!!??
Ukiwa kilaza,usipende kuongea au kuandika sana maana utajulikana na kuchekwa ewe mjane.
 
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Nilifurahi nikataka kuwa mwehu asante mungu!!!
IMG_20210326_110713.jpg
 
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
Pelekeni watoto shule.
Acheni kuabudu uchawi.
 
Huna akili.

Teuzi ni kitu cha mpito.

Ndio maana teuzi za Magu zimepita naye kama zilivyopita teuzi za kina Nyerere, Mkapa na Kikwete.

Ajira usually ni kitu cha kudumu kama walivyopeana wachagga enzi za Mkapa.

Mbona hujawahi kuuliza kwanini Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini. Sasa hivi uchaggani kuna kizazi cha hovyo sana
Pelekenj watoto shule.
Acheni kuabudu uchawi.
 
Yule sijui alikuwaje kiongozi mjinga sana yule jamaaa yaani ngoja ss tulidharauliwa zamani sio sassa Mbowe beba kilicho chako usukumani tuachie Magufuli wetu mbwa wewe
Kama jambazi na lishetani limekuwa kiongozi,Mbowe is more far a leader than your sadist.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom