Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Leo nipo Mkuranga - shambani huku nanunua ufuta. Wasukuma wamejaa huku balaa. Wanashukuru kwa mwendazake kuenda zake maana wanasema alikuwa ni "shetani".
Nani kakuambia kila msukuma anamuunga mkono JPM?!!!

KWANI MBOWE anaungwa mkono na kila mchaga ?!!!

Ujinga umekujaa BWASHEE.....
 
Mtoa mada, ni vizuri ukaweka ushahidi wa wachaga walioajiriwa ili tuamini ni kweli Mbowe anadanganya umma.
Ukiuliza hivyo ina maana umeamini ayasemayo Mbowe. Mbowe ni bwege tu! Labda angezungumzia kwamba hapakuwa na ajira serikalini. Nijuavyo ajira kubwa ktk miaka mitano ilikuwa ni ualimu. Vijana waliosomea ualimu waliajiliwa na vijana wa kichaga waliajiliwa. Ukitaka ushahidi nenda shule za uchagani, kama kawaida ya wachaga hupenda shule za kwao, wapo wengi.

Huyu ni elimu duni na anategemea huruma kuendelea na siasa. Kama angekuwa shujaa wa utetezi kwa nini alikaa kimya miaka yote hadi leo ndo anajitokeza kama shujaa wa wachaga?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Japo nilikua simkubali jpm kwa mambo kadhaa ila kwahili mbowe anazingua. Au kama anatumia nafasi hii ya ukabila kurudisha kanda ya kaskazini ktk chama chake sawa aendelee.wapinzani wa tz wanafeli sana ktk mikakati yakukuza vyama
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Uwa najiuliza wachaga walimkosea nini Magufuli uwa sipati jibu.

Mungu ni mwema kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbowe ni kubwa jinga yule, ukabila umemkaa hadi ma.takoni hajielewi yule.Ndio anataka chama chake chadema kipigiwe kura na Watanzania? Shame on him! aendelee kuwahubiri wakipigie kura wachaga wenzake tuone kama watatoboa pumbavu kabisa, hili makengeza halijambo kwa ukabila, kiufupi halifai halifai
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Nilikuwa nahoji kila siku humu kwamba kwanini wanaosema Magu ni mkabila ni wachaga tu?

Mbona tunvsa makabila zaidi ya 120 hapa nchini ila wanaosema Magu ni mkabila ni wachaga tu?

Sasa nimepata jibu kwamba wachaga ndio wakabila
 
Wachaga waliacha kutumia majina ya Mosha/Mushi nk mwendazake alikuwa Kama Hitler na Jews..
 
Mwaka 2001 Wanafunzi wa kozi ya Unesi katika chuo Kikuu kishiriki pale Muhimbili wachagga walikua 24 Kati ya wanafunzi 28.

Unategemea nn katika soko la ajira?

Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa uliokua ukiongoza kwa shule za msingi na sekondari kuanzia miaka ya 1970-2010.

Fanya hesabu.

Ilikuwa ni fahari kwa kila familia ya Mchagga kuwa na Mtoto mwenye Digree au Padri katika miaka ya 1970-2010.

Takriban vitivo vyote pale UDSM 1970-2010 vilikua na aidha mkuu wa kitengo mchagga au msaidizi wake.

*********
Tuhuma za Mwenyekiti Mbowe...

Inawezekana kutokana na facts hizo hapo juu wimbi kubwa la wachagga walifanikiwa kuingia kwenye ajira rasmi na zisizo rasmi.

Mwendazake kuzuia ajira kwa wachagga serikalini, inawezekana ukawa ni ukweli ambao hauwezi kuthibitishwa popote... Zaidi ya hisia tu kama ambavyo wenyeji wa Mkoa wa Mara waliingia kwenye majeshi ya ulinzi na usalama.

VYOVYOTE IWAVYO
Yumkini ilikua ni wakati sasa wa kulitizama Taifa katika sura tofauti na ndipo mwendazake akaoneokana kuajiri ma Homeboy zaidi. Kitendo ambacho ni sahihi kwani kwa aina ya utendaji aliokuwa akiuhitaji alikua hana budi kuchukua watu ambao watakua loyal kwake.

APPROACH YA MBOWE
Bwashee angeweza kutafuta namna nzuri ya kuliongelea hili na sio kwa namna ambavyo ameamua kuli present kwa jamii ambayo madhara yake ni kwamba;

Makabila 130+ hayawezi ku sympathize na kabila moja ambalo kimsingi sio wanyonge wala masikini.

Tamko lake linaweza kuanza kuibua hisia za makundi mengine ambayo yamesahaulika na mfumo.

Mfano;
Waislamu, Wakristo lakini KKKT, Wanawake na kundi lenye watu wenye mahitaji muhimu (walemavu, Albino na Wasioona)

MY TAKE
CHADEMA kwa sasa kinahitaji Mwenyekiti mwenye vision kubwa zaidi. Uwezo wa Mbowe kwa sasa unafikirisha sana.

Wasalaam
Mkuu umeonge vizuri sana ila nikuongezee taarifa moja.

......" Tangu Magufuli aingie Madarakani mwaka 2015, ajira pekee nyingi za Afya zilikuwa ni 8,000+ mwaka 2018. Wakati huo kulikuwa na graduates wa tangu 2015 mtaani.

Kwahiyo kuhusu ajira Magu anasingiziwa kwasababu hata ajira zenyewe hakutoa na ndio maana sasa hivi mitaa imejaa Jobless tena kutoka kwenye kada zenye mass employment kama elimu na afya.

Samia katangaza ajira 9,000 wameomba watu 130,000 sasa hizo ajira ambazo Mbowe anaziongelea ni zipi ?
 
Kwani iliwezekanaje

Waziri wa Afya...

Mganga Mkuu wa Serikali...

Katibu mkuu wizara ya Afya kuwa wa sehemu moja?

Funga kazi ni katibu mkuu wa Sekta nyeti kuwa mpwa wa Mfalme...why?? Why??
Ona huu upumbavu!

Watu wawili ndio kigezo cha ukabila.

Ndio maana chadema inadharauliwa sana
 
Ili chama kishinde lazima pia kiungwe mkono na vyombo vyote vya usalama.

Kwa akili hizi za Mbowe chadema itaungwa mkono na chombo kipi cha usalama?

Mbowe ni mbumbumbu wa siasa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kama hii kauli imetolewa na Mbowe ni wazi amefilisika
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ili chama kishinde lazima pia kiungwe mkono na vyombo vyote vya usalama.

Kwa akili hizi za Mbowe chadema itaungwa mkono na chombo kipi cha usalama?

Mbowe ni mbumbumbu wa siasa
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
Kumbe baba yako akifa huwa mapenzi yanamalizika zwazwa?!!

Na ili uyaendeleze basi ni kufukiwa naye ?!! Si ndio bwana HOBOBO?!!!
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
Wachagga na Wasukuma wenye akili zao hawawezi nunua hili wazo la ukabila

"Siasa za kijinga "
Si na wapenzi wetu wa kanda ile dada wasio na tamaa ya hela tunajilia vyetu . Anakutoa na hela ukimaliza
Basi Mbowe hana akili ni wa kupuuzwa
 
Aisee mwenyekiti mbona kama unafeli hapo...

Back
Top Bottom