Kwa hiyo chama hiki kimekuja kuajili
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma'
Unajua hawa watu ,wenye siasa za kutafuta huruma ,kwa kutumia makabila sio watu wazuri kabisa.Halafu MTU mwenyewe ,ni mwenyekiti wa kudumu wa chama.Halafu umepewa urithi tu wa chama kutoka kwa baba mkwe.Hivi ndugu yetu huyu Mbowe kwa miaka uliyonayo 60 bado unashabikia ukabila?Nafikiri ndugu huyu hata hizi fununu za sukuma gang ndio waanzlishi wao na watu wake.Kwa hiyo unatudhihirisha kuwa CDM ni mkombozi wa watu wa kasikazini.Kuna wengine wa sehemu za Tanzania hawakupata ajila.Naona hauwaongelei.Unaongelea watu wa kaskazini tu.Ndugu Mbowe unamlaumu hayati ,huku ukijua hawezi kukujibu.Kwanini haukusema hayo wakati yupo hai?Nafikiri unafaa kujiuzuru.Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''