Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo chama hiki kimekuja kuajili
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma'

Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Unajua hawa watu ,wenye siasa za kutafuta huruma ,kwa kutumia makabila sio watu wazuri kabisa.Halafu MTU mwenyewe ,ni mwenyekiti wa kudumu wa chama.Halafu umepewa urithi tu wa chama kutoka kwa baba mkwe.Hivi ndugu yetu huyu Mbowe kwa miaka uliyonayo 60 bado unashabikia ukabila?Nafikiri ndugu huyu hata hizi fununu za sukuma gang ndio waanzlishi wao na watu wake.Kwa hiyo unatudhihirisha kuwa CDM ni mkombozi wa watu wa kasikazini.Kuna wengine wa sehemu za Tanzania hawakupata ajila.Naona hauwaongelei.Unaongelea watu wa kaskazini tu.Ndugu Mbowe unamlaumu hayati ,huku ukijua hawezi kukujibu.Kwanini haukusema hayo wakati yupo hai?Nafikiri unafaa kujiuzuru.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
JPM alikuwa mbinafsi na mtu wa Nepotism, waliomtetea walikuwa na Hoja kwamba hata watuwa Kaskazini ni wabinafsi...

Kwahio kuendeleza kuleta hoja za ubinafsi katika karne hii ni kurudishana nyuma na kutukera sisi ambao sio wabinafsi.., hayo mambo mbaki nayo kwenye vichwa vyenu
 
Japo nilikua simkubali jpm kwa mambo kadhaa ila kwahili mbowe anazingua. Au kama anatumia nafasi hii ya ukabila kurudisha kanda ya kaskazini ktk chama chake sawa aendelee.wapinzani wa tz wanafeli sana ktk mikakati yakukuza vyama
Mbowe ni mtu wa ajabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ona huu upumbavu!

Watu wawili ndio kigezo cha ukabila.

Ndio maana chadema inadharauliwa sana
Hujioni wewe ndio mpumbavu na mshamba ??

Nimeuliza swali kulikua kuna ulazima gani kwa top leaders watatu wa wizara moja kuwa na mfanano wa kanda moja! Je sekta hiyo Seniors Doctors wangapi waliachwa na wana uzoefu kuliko hao wateuliwa ??

Hazina kulikua hakuna experts wenye exposure ya miaka zaidi ya 20 mpaka mtu amtoe mpwa wake machakani huko aje ashike ofisi kubwa namna ile??
 
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini

Acha mawazo ya kinyama pimbi wewe
 
Mara zote imekuwa ikisema Magufuli hakutoa ajira za kutosha hata mimi ndio nijuavyo, sasa hii tuhuma ya Mbowe kuwa JPM aliajiri Wasukuma tu ni kwa ajira zipi?

Au kuna ajira maalumu zilitoka kwa ajili ya Wasukuma tu na zilitoka kimya kimya?
 
Wewe ni kapumbavu!

Kuna taaisis mgapi nchi hii mpaka uone hizo nafasi tatu tu?

Yani Magufuli kuteua watu wa kanda moja kwenye wizara 2 miongoni mwa wizara nyingi ndio unaona ukabila?

Kwa akili hizi hicho chama chenu kitaendelea kuwa chama cha wachaga tu hivyo hivyo
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Hivi kaskazini wanakaa wachaga peke yao? Au wao wanastaki tofauti na wengine?
 
Well done mkuu .Tuliona Magufuli alivyotaka kumnyamazisha Prof Ngowi hado hakawa haitwi kwenye convocation mbalimbali..
Ni kweli na Jerry Muro amewahi kukiri hivyo baada ya Magufuli kufariki, alisema kwenye Utawala wa Magu ilikua ngumu sana kupenya hasa kama mtu anatokea kaskazini". Je Jery Muro nae anatudanganya? Nikipata ile clip nitaipandisha hapa.

Nyie mbuzi wa kijani ushahidi huo hapo sasa. Pumbavu nyie
 
Mara zote imekuwa ikisema Magufuli hakutoa ajira za kutosha hata mimi ndio nijuavyo, sasa hii tuhuma ya Mbowe kuwa JPM aliajiri Wasukuma tu ni kwa ajira zipi?

Au kuna ajira maalumu zilitoka kwa ajili ya Wasukuma tu na zilitoka kimya kimya?
Mbowe ni kati ya Mbumbumbu Duniani hopeless kabisa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Diwani Athuman ni mpare ndugu yangu.
Mbowe kasema kweli
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
Well done mkuu .Tuliona Magufuli alivyotaka kumnyamazisha Prof Ngowi hado hakawa haitwi kwenye convocation mbalimbali..
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
Wewe ni kapumbavu!

Kuna taaisis mgapi nchi hii mpaka uone hizo nafasi tatu tu?

Yani Magufuli kuteua watu wa kanda moja kwenye wizara 2 miongoni mwa wizara nyingi ndio unaona ukabila?

Kwa akili hizi hicho chama chenu kitaendelea kuwa chama cha wachaga tu hivyo hivyo

Kwa akili hizi za viongozi wenu wataachaje kushauri vitu vya kipumbavu MATAGA?

Yani washamba kukwaa madaraka sasa ndio ikawa ni mgao wa vyeo kama chakula kwenye sherehe??

Hivi unafikiri hata huko CCM kwenu walikua wakipendezwa na ushamba ule? Hukusikia waliomsaidia kukwaa nafasi ile wakimuita "Mshamba"

Huoni baada ya kuondoka wamemgeuka sasa! Sio Ndugai sio wapumbavu wenzio waliokua wakisifu kukaaa kwenye mvuke na kula malimao
2778080_IMG_8549.jpg
IMG-20210516-WA0000.jpg
images (21).jpeg

images (13).jpeg
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Huyu Mzee anamawazo ya Kipumbavu kiasi hiki kumbe, Mchumia tumbo lake mjanja mjanja, Wachaga ndo tumejaa kwenye taasisi kama TRA , Bandarini n.k , lkn kazeeka si wakulaumu sana
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mbowe ni hopeless sana, kwa hiyo yeye amechunguza walioajiliwa wote hakuna mchaga, Mbowe ndio mkabila namba moja.
Sio mzima yule asee Ile chanjo ya astrazeneca imepanda kichwani imevuruga mafile yote
 
View attachment 1802655
Kwa akili hizi za viongozi wenu wataachaje kushauri vitu vya kipumbavu MATAGA?

Yani washamba kukwaa madaraka sasa ndio ikawa ni mgao wa vyeo kama chakula kwenye sherehe??

Hivi unafikiri hata huko CCM kwenu walikua wakipendezwa na ushamba ule? Hukusikia waliomsaidia kukwaa nafasi ile wakimuita "Mshamba"

Huoni baada ya kuondoka wamemgeuka sasa! Sio Ndugai sio wapumbavu wenzio waliokua wakisifu kukaaa kwenye mvuke na kula malimaoView attachment 1802657View attachment 1802659View attachment 1802660

View attachment 1802661
Sasa ukicholeta hapa kinahusiana vipi na mada inayozungumzia ukabila wa Mbowe?

Alafu unaiita una akili?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom