Dah...He must be smoking something...I can't believe it...Labda kaona hiyo ndio njia kurudisha strong hold ya chama huko kaskazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...He must be smoking something...I can't believe it...Labda kaona hiyo ndio njia kurudisha strong hold ya chama huko kaskazini.
You don't know what you are talking...unafikiri kauli hiyo ya Mbowe ikitiliwa maanani losers watakuwa akina Nani? Pole Sana...Lunatic wenu yuko kwenye kibanda umiza huko
Hahahaha we don't loose, we either win or learn! Hivi kuna mtu alikua na kauli za kipuuzi kama huyo marehemu?You don't know what you are talking...unafikiri kauli hiyo ya Mbowe ikitiliwa maanani losers watakuwa akina Nani? Pole Sana...
Hao wapare ni Jamii ya Kanda ya Kusini kwa akina mfugale au!???Diwani Athuman ni mpare siyo mchaga
Tunamsubiri kanda ya ziwa tutatunza hii clip.Na atajua kuwa siasa hajui. Amesahau kuwa wakati waziri mramba akiwa waziri wa fedha.Ndaniel yona alikuwa waziri wa uwekezaji na Rita mlaki akiwa waziri wa viwanda na biasharaMbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
Hahahaha we don't loose, we either win or learn! Hivi kuna mtu alikua na kauli za kipuuzi kama huyo marehemu?
Hajazidi uchafu wa mwenda zake.Siamini Mbowe anaweza kuongea uchafu kama huu ..
Unateseka bure. Wachagga watakjja kukununua kabisa na ww mwenyeweHapa TZ hakuna wabaguzi wakubwa kama wachaga pia ni wapiga madili sana ndiyo maana Hayati Magufuli aliwanyoosha na amefanya wana kanda ya ziwa kuwatambua wachaga walivyowabaguzi na kesho nilikiwa nimepanga kumuuzia eneo langu mchaga pale maeneo ya Kisesa nimegaili kabisaaa na kuanzia leo sitakuwa na ukaribu na mchaga yeyote!
Upo Chato kitovuni kwa ibilis magufuli mfuKwani ni uongo ndugu zangu,maendeleo yaliyokuwepo kaskazini yanafanana na yaliyokuwepo kigoma,iringa na mtwara na kwingine? Hata hivyo kwa Nini umeiacha mistari mitatu baadae ya hiyo uliyoizungushia? Ili unacho maanisha kipate maana kamili acheni uhuni.
Kwani uwanja wa ndege nduli upo usukumani eneo gani vile?
Siyo vema sana kuongelea mambo ya ukabila hapa Tanzania, lakini kwa hakika vitendo vya Rais Magufuli vinatulazimisha tuingie huko.Yaani unataka kuamini utumishi walikuwa hawashortlist wachaga? Mbona kuna wachaga kibao waliajiriwa na utumishi na sio vyema kuweka list humu.
Bibi kwa nani wake?Mnyika ni mpare wa ugweno lakini ana bibi yake Misungwi.
Mkuu kuliongelea swala la chuki za magufuli dhidi ya wachaga na hata wahaya nimewasikia wakilalamika kuchukiwa na magufuli haliwezi kuwa relevant kwa sasa kwani ameshafariki, labda kama una hoja kwamba wachaga wanachukiwa na kila rais atakayekuja na serikali nzima..Siyo vema sana kuongelea mambo ya ukabila hapa Tanzania, lakini kwa hakika vitendo vya Rais Magufuli vinatulazimisha tuingie huko.
Magufuli alikuwa very clear katika chuki yake dhidi ya Wachagga. Unaweza kuelewa chuki yake kwa kiasi fulani. Nyerere alikutana na "The Chagga Problem" katika elimu. Kutokana na uchagani kuwepo shule nyingi za msingi, Wachagga wengi zaidi walikuwa wakiingia sekondari kuliko makabila mengine. Hili lilikuwa bomu. Nyerere akaja na solution. Quota system. Idadi maalum ikagawanywa kila mkoa, ili kutoa fursa sawa kwa mikoa yote, hata kama inamaanisha kuna vijana wa kichaga waliofaulu vizuri wataachwa ili kuchukua wa mikoa mingine wenye ufaulu wa chini.
Nyerere alifanya haya bila chuki yoyote dhidi ya Wachagga.
Magu ni tofauti. Alibomoa Kimara kwa ukatili usio na kipimo, akijua wamejaa Wachagga, wakati kule Mwanza alisitisha bomoabomoa, akitangaza bila aibu, mchana kweupe, MSIWABOMOLEE HAWA WALINIPA KURA!!
Magufuli alichukia sana Wachagga. Maeneo mengi kawaondoa, lakini badala yake kajaza wasukuma wengi mno, na kwa hiyo hatatui chochote, bali anatia chumvi nyingi mno kwenye kidonda.
Wakati Nyerere alikuwa anapambana na ukabila, Magu kaurejesha kwa kasi