Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Kumbe....basi itabidi hawa warembo wangu niwalipie wakafanyiwe hii waxing. Na kwenye tigo nayo wanafanya?
Kila mahali inafanywa kwanzia usoni. Hadi nyusi kwa wale wanaopenda kuzinyoa wachore wenyewe na wanja. Wapeleke wa bebez wako wakapendeze. Wapo wataalamu jinsia za kike wamama kabisa wengine ni wataalamu wa kusomea kabisa.
 
Kila mahali inafanywa kwanzia usoni. Hadi nyusi kwa wale wanaopenda kuzinyoa wachore wenyewe na wanja. Wapeleke wa bebez wako wakapendeze. Wapo wataalamu jinsia za kike wamama kabisa wengine ni wataalamu wa kusomea kabisa.
Kitu kinakuwa soft kabisa uweza kula ugali hapo hapo
 
Mwifwa una swali lingine[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kimaadili kulingana na miongozo ya vitabu vya Dini(kama unaviamini lakini), kuangaliana sehemu za siri watu wa jinsia moja si vizuri isipokuwa kwa sababu maalum(mf Kitabibu).

Hekima yake mojawapo ni kufichiana aibu.

Je, wewe Simara unalichukuliaje hili la kuangaliwa kila mara na mwanamke mwenzako?
 
Side effect ni kwamba unaweza kupata pimples au skin irritation maaneo uliyofanyiwa. Ndio maana inabidi ufanyiwe na mtaalam kwanza uone inavyotakiwa kufanywa kisha baadae ndio unaweza kuanza kufanya mwenyewe.
Ok mkuu
 
halafu utakuta mifuta na hata hizo plastic wanabandika kabla ya kuvuta pyaa,
ZA MICHINA,badae kuna kilio kikubwa wakianza kubabuka ngozi.
 
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!

Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia

Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.

Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.

Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Nitajie jina la hiyo saloon basi
 
Wewe umefikia hatua hiyo?
Unafanyiwa au unajifanyia?
Mimi ambazo zimekufa kabisa ni vinyweleo vya mikononi na miguuni(maana nilikuwa na mavinyweleo hadi vikawa vinanikera) na hizi zinazopanda kama tumboni hivi (wenyewe wanaita love garden) na hizi za bikin line nimezi dhibiti kabisa hazioti tena.

Kwapa na pengine bado, ila zikiota zinaota lainii kama vinyweleo vile yaani kama vile ndio mtu anaanza kuvunja ungo[emoji23][emoji23].

Nafanya mwenyewe sasa hivi maana nishakuwa fundi.
 
Back
Top Bottom