Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki kutengeneza mabilionKuna biashara ambazo kamwe siwezi uza wala kuzinunua. Kama biashara ya cocaineš
Yaani hata unipatie mtaji wote sifanyi
Inafaa kabisa.Natamani ndevu zangu nizitengeneze mazingira haya aiseee
Kila mahali inafanywa kwanzia usoni. Hadi nyusi kwa wale wanaopenda kuzinyoa wachore wenyewe na wanja. Wapeleke wa bebez wako wakapendeze. Wapo wataalamu jinsia za kike wamama kabisa wengine ni wataalamu wa kusomea kabisa.Kumbe....basi itabidi hawa warembo wangu niwalipie wakafanyiwe hii waxing. Na kwenye tigo nayo wanafanya?
Sasa hii ya kuweka safi mbususu za pisi kali sii hela njenje na halaliSio kwa biashara hizo
Mwanamke akivaa chupi kuna nywele huwa zinaonekana kwa pembeni kuja kama kwenye mapaja hivi mahali chupi inapoishia."Bikini line" ndio nin
Kitu kinakuwa soft kabisa uweza kula ugali hapo hapoKila mahali inafanywa kwanzia usoni. Hadi nyusi kwa wale wanaopenda kuzinyoa wachore wenyewe na wanja. Wapeleke wa bebez wako wakapendeze. Wapo wataalamu jinsia za kike wamama kabisa wengine ni wataalamu wa kusomea kabisa.
Uchoyo tuu,ss ww ulizichukua hizo no za kazi gani kama hutaki kugawaMajina ninayo namba za simu zipo ila sikupi nisije nikakuingiza kwenye janga bureee
Mwanamke akivaa chupi kuna nywele huwa zinaonekana kwa pembeni kuja kama kwenye mapaja hivi mahali chupi inapoishia."Bikini line" ndio nin
Kimaadili kulingana na miongozo ya vitabu vya Dini(kama unaviamini lakini), kuangaliana sehemu za siri watu wa jinsia moja si vizuri isipokuwa kwa sababu maalum(mf Kitabibu).Mwifwa una swali lingine[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ok mkuuSide effect ni kwamba unaweza kupata pimples au skin irritation maaneo uliyofanyiwa. Ndio maana inabidi ufanyiwe na mtaalam kwanza uone inavyotakiwa kufanywa kisha baadae ndio unaweza kuanza kufanya mwenyewe.
Nimeuliza, njoo ujibu.Sidhani kama analo ha ha ha ha kama analo aulize nitamjibu[emoji1787][emoji1787]
Yanafanyika bongo hii hiii
Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20
Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
Nitajie jina la hiyo saloon basiSijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Ni mume au hawara?Kwanini asijue Mkuu? anajua na anapenda nifanye na huwa anatoa pesa nikafanye hiyo huduma
Mimi ambazo zimekufa kabisa ni vinyweleo vya mikononi na miguuni(maana nilikuwa na mavinyweleo hadi vikawa vinanikera) na hizi zinazopanda kama tumboni hivi (wenyewe wanaita love garden) na hizi za bikin line nimezi dhibiti kabisa hazioti tena.Wewe umefikia hatua hiyo?
Unafanyiwa au unajifanyia?