Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mange ni kichaa yani ukiwa na akili timamu upaswi kuwa na urafiki na Mange au kumkaribia huyo ni chizi na chizi hana mipaka kabisa! Huyu anamtukana na anatoa siri zozote zile hana siri huyu kichaa kikimpanda anakutaja…..Amewahi kumtukana sana zamani, labda wewe ni mgeni mjini au ulikuwa bado mdogo.
Hata hivyo, hiyo haifanyi January asiweze kumtumia Mange against yeyote kwasasa kwasababu, Mwamvita ameshapatana na Mange, means Mange na January kwasasa ni ✅
Hata pia, hii haifanyi Mange ashindwe kuja kumtusi Januari in the future, huyo ndio mange huwa anamtukana yeyote, muda wowote kwasababu yoyote. Na huwa anatumiwa na yeyote, muda wowote kwasababu yoyote.
Wakati wako ukifika, tulia dawa ikuingie.
Mnadili na a certified bipolar woman.
Viongozi wengi wanashindwa kunkemea kwa kuwa wanamuogopa sana na pengine wanajua anawajua ndio maana hawathubutu kumsema yani mpaka Makonda alivyosema kuna wanao mtuma ndio unaona watu wanajifanya wanaumizwa …hivi hao viongozi kwanini hadi leo hawajamkemea ?