Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Mange ni kichaa yani ukiwa na akili timamu upaswi kuwa na urafiki na Mange au kumkaribia huyo ni chizi na chizi hana mipaka kabisa! Huyu anamtukana na anatoa siri zozote zile hana siri huyu kichaa kikimpanda anakutaja…..
Viongozi wengi wanashindwa kunkemea kwa kuwa wanamuogopa sana na pengine wanajua anawajua ndio maana hawathubutu kumsema yani mpaka Makonda alivyosema kuna wanao mtuma ndio unaona watu wanajifanya wanaumizwa …hivi hao viongozi kwanini hadi leo hawajamkemea ?
 
Kwa namna nchi ilivyoharibiwa.sisi wazalendo tunafurahi wakiwa wanatukanwa ili wajijue kabisa kuwa nchi yetu wameiharibu tofauti na wanavyodanganywa na chawa wao.
 
Ndio maana naamini Makonda hajasema kwa bahati mbaya ni wazi katumwa kusema ili kuwavuruga ili wajue mipango na mbinu zao zimeanza kujulikana…..lazima tujiulize kwanini Makonda kasema jana tena mbele ya Rais? Ni bahati mbaya? Na ilikuwa ina uhusiano gani?
Mtu asiyeifahamu CCM ndio anaweza kushangaa mwana CCM kumtumia mtu kumtukana kiongozi…yani Wana CCM wanapeana hadi Sumu ndio washindwe kufanya yanayofanywa?
Mange ana backup ya watu
 
Watu imara hawababaishwi na vitu vidogo kama matusi
Maneno hajawahi kuvunja mfupa
Ningekuwa rais ningemuacha aseme kadiri inavyomfaa ningezuia mtu yoyote kuandika habari, kujadili habari zake kama hivi

Lakini usalama wa nchi wajitafakari kushindwa kudeal na mtu kama yule ni kuonyesha udhaifu mkubwa sana kama taifa



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Labda wanaona raha
 
Akitukanwa rais ni kama tumetukanwa watanzania wote? Acha uongo mzee!
 
Mange hata siku moja hakuwahi kumtukana Kikwete!! Marehemu Kimambi baba yake mzazi Mange alikuwa rafiki wa karibu sana wa Kikwete hivyo Kikwete kwa Mange alikuwa baba yake!
Kama unao lete ushahidi wa Mange akimtukana kaka wa Msoga!
 
Tatizo wapumbavu ninyi hamjui tofauti ya matusi na ukosoaji. Hebu tupe mfano wa hayo matusi tafadhali
 
Anaweza akawa ndo yeye maana january hata akili huwa hana... Yule anabebwa tu na ccm lakini mtupu sana. Hana kitu kabisa.
 
Watu wanawaza 2025

Acha kuwa mjinga
Mjinga ni wewe ambaye unadhani kuna mjinga yeyote ambaye ni mteule wa Samia anaweza kudhubutu kuchukua fomu kumchallenge wakati akijua fika lazima Samia amalize vipindi viwili. Hizo ni fikra zako mwenyewe na fomu washasema inatoka moja.
 
Yapo mengi yanalipwa kumpamba mr March
 
Anajifanya mwanadiplomasia ati[emoji16]

Anatutuliza sisi wajinga tusijue 2025 wanataka kupindua mesa

Kikwete ametuletea watu wa ajabu sana hadi kina upara wanataka urais
 
Hajawahi kumtukana kwa lolote huwa longolongo tu kujifanya hawapatani

Km akaunt ya kigogo huwa anajitukana utashaangaa kwa mange?

 
Huyu Binti kwanza ni mwana ccm mimi huwashangaa wanaojiita wapinzani kumshabikia. Ikiwa anaweza kumtukana Raisi aliepo madarakani jua kuwa anaweza kumtukana yoyote hata Mbowe

Alafu ni mpuuzi sana ni mtu aliokosa adabu, heshima, a very sadist person. Kudhalilisha watu ndio furaha yake.

Kueneza siri za watu hadharani, picha za watu za utupu, kutukana watu matusi hayo ndio maisha yake.

Tatizo sio yeye tatizo ni wanaomshabikia, wanaojozana kwenye page zake na hiyo app yake, hao ndio wanaompa kichwa na kiburi akijiona mtu mkubwa na wamana.
 
Samia aliaminishwa Rais magufuli ni mbaya

Akabeba zile chuki

Kupiga picha na mange ilikuwa kuwakomoa wafuasi wa magufuli

Lkn rember the karma
Na ndio maana CDF mstaafu alithibitisha sio mtu wa kwanza kuambia msiba, huyu ndio alikuwa anahujumu na kupeleka information kwa hakina kigogo, na mange.

Karma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…