Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana


Unaingia madarakani kwa kupora uchaguzi, yaani kuutukana uchaguzi, halafu unataka upewe heshima baada ya kupata cheo kwa kupora uchaguzi! Katika mazingira hayo unategemea ukitukanwa watu waone hatari?
 
Huyo anafanya spinning

Mfuatlie kuanzia huko juu ya uzi utamjua ni eidha mwenyewe kipara au machawa wake
Mange hata siku moja hakuwahi kumtukana Kikwete!! Marehemu Kimambi baba yake mzazi Mange alikuwa rafiki wa karibu sana wa Kikwete hivyo Kikwete kwa Mange alikuwa baba yake!
Kama unao lete ushahidi wa Mange akimtukana kaka wa Msoga!
 
Kupora chaguzi za nchi ni zaidi ya matusi ya huyo muhuni. Mtu anayejiheshimu hawezi kupora uchaguzi. Huwezi kutaka heshima, huku unapata madaraka kwa njia za kishenzi. Hata ukipewa matusi watu tunaona ni sawa tu maana hujiheshumu.
 
Kupora chaguzi za nchi ni zaidi ya matusi ya huyo muhuni. Mtu anayejiheshimu hawezi kupora uchaguzi. Huwezi kutaka heshima, huku unapata madaraka kwa njia za kishenzi. Hata ukipewa matusi watu tunaona ni sawa tu maana hujiheshumu.

inawezekanwa wewe ni katika wale kundi la BAVICHA, mana na wao matusi ndio mfumo wa maisha yao
 
Sawasawa kabisa, kama mtu hawajui CCM ndio atashangaa haya yanayoendelea.
 
Mtu akikaa nje ya nchi upeo unapanuka kidogo, unaona jinsi Africa kiongozi kachaguliwa na wananchi halafu anakuja kujikuta mungu mtu aabudiwe na wananchi waliompa kiti. Sasa nadhani CCM wanaonja pain waliyokuwa wanawapa upinzani pia in other way. Tena afadhali yao hawalali huko rumande nakuwa harassed na polisi. Minaona tunakaribia kubalance hii nchi. Kila mtu ni equal hakuna mkubwa zaidi ya mwingine.
 
Kwa
Mkuu ulishawahi sikia ngoma flan ya Nas enzi za bill ina mstari mmoja unasema I wanna talk to FBI and the CIAs to the motherf..k president...

So kwao kawaida sidhani kama watafanya chochote juu ya hilo.
Hao Wamarekani hilo neno Mother f..k kwa wenyewe ni kama kiwakilishi sio tusi kama tunavyotafsiri huku
 
Hajawahi kumtukana kwa lolote huwa longolongo tu kujifanya hawapatani

Km akaunt ya kigogo huwa anajitukana utashaangaa kwa mange?
We jamaa unaweza kubishana aisee! Mwanzo nilidhani bahati mbaya kumbe umedhamiria kabisa, unaijua U-turn? Humo Januari alichafuliwa sana, kitu kilichofanya Mwamvita (Nduguye yake January) kutumia influence yake Vodacom wakamsitishia Mange sponsorship.

Elewa tena, Hii haifanyi Januari ashindwe kwasasa kumtumia Mange against yeyote, ndio maana kwa wenye akili na wanaojali hautakiwi kuwa na ushirika na mtu kama Mange kwasababu once “common interests” zikiisha basi anaweza turn against you either.
 
Sasa h
Mkuu ulishawahi sikia ngoma flan ya Nas enzi za bill ina mstari mmoja unasema I wanna talk to FBI and the CIAs to the motherf..k president...

So kwao kawaida sidhani kama watafanya chochote juu ya hilo.
Sasa hapo kamtaja jina Moja Kwa Moja ni rais Gani? Kosa ni kumtukana mtu directly.
 
Kwa
Kwa hyo Bi dada ashikilie hapo hapo 🤔
 
Hivi watu kwanini mnakumbu kumbu fupi?

Mumesahau aliyeanzisha kazi ya matusi ni JPM kupitia Musiba. Mbona hatukuwasikia mkimkemea Musiba leo mnamkemea yule Dada! kwa lipi.

Unapanda Bangi ukitegemea utavuna Alizeti!

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Hivi naomba niulize, wakati ule Musiba anaandika na kusema matusi Viongozi na watu wengine mitandaoni na mpaka kwenye magazeti yake matusi na udhalilishaji huku akipita mitaa ya hapa hapa Tanzania hamkumuona?
Mbona sio viongozi wala hawa wapiga filimbi tuliwasikia wakikemea au kuchukua hatua?
Alimfedhehesha hadi Marehemu Maalim na Zitto kuwa wanamdenya yule kijana wao afisa habari ambaye sasa yuko CCM na wote mlikuwa mnacheka ila leo ndio mmeona ni jambo baya?
Huyo huyo Bashite alikuwa na project yake ya vijana kuwachafua kwa mitandao viongozi wa upinzani kisha mnachekelea!
Mmeyaanzisha ona sasa yanavyotuharibia nchi yetu hadi bi mkubwa na serikali yetu inafedheheshwa!


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hao viongozi mnaowatetea wakisoma hivi mlivyoviandika watabaki wanashangaa na halafu wataanza kuwachekeni tu. Wenyewe huko walipo wanapenda kudharirishwa ndiyo maana wanapenda kufanya mambo yanayopelekea wao kutukanwa na kudharirishwa
 
Bwana mdogo nisikilize kwa makini

Mzee kikwete na mzee kimambi walikuwa maswaiba

Kikwete alipokuwa rais,alimchukua makamba ikulu

Na makamba na kimambi walikuwa karibu kiasi kwamba akamshawishi mange aje agombee ubunge wa viti maalumu jimbo la kinondoni km sikosei ila alipigwa chini kura za ndani ya chama

Na ilivyo January alikuwa anamtumia sana kufanikisha mambo yake

Ile kumtukana matusi madogo madogo ni kuzuga tu (tusijue ushirikiano wao)

Makamba na mange hawajawahi kugombana


Ndio maana unaweza kuta ile account ya kigogo inamtukana makamba,zito nape ila nyuma ya pazia ndio wao[emoji16]
 
Kwa

Hao Wamarekani hilo neno Mother f..k kwa wenyewe ni kama kiwakilishi sio tusi kama tunavyotafsiri huku
Ni lugha ya mtaani, ndio maana official haitumiki kwakuwa ni tusi. Mtaani utasikia mtu anamwambia mwenzake we mseng.. lakini huwezi kumwambia rais au mtu mwenye heshima we mseng.. nini maana bado ni tusi.
Ukitaza akina dave chappelle kila siku wanawatusi marais jukwaani.
Jamaa aliwahi kusema stejini obama akiwa rais, akimsema michelle obama kuwa fucking a president doesn't make you intelligent and start running things. Akaendelea na kuongea vitu ambavyo hapa kwetu ingeonekana ni kumdisrespect rais na mke wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…