Huelewi lolote kuhusu siasa wewe, unajua kipindi cha JPM Mange alikuwa analipwa na nani!?,unajua akaunti ya KIGOGO ilikuwa inamilikiwa na nani!?,Mama Samia katukanwa matusi ya nguoni, umeona waziri wa mambo ya nje akichukua hatua yoyote!?,watu hawana shida ya uwaziri, wana shida ya Uraisi, waweza kuita tamaa au vyovyote vile ndo binadamu tupo tofauti. Mange ana backup kubwa sana ndo maana anajiamini. Vilevile Makonda ana backup kubwa sana ndo maana kaongea vile Jana. Vita ni kubwa kuliko tunavyodhani.