inategemea na aina ya kiongozi.Anapotukwa rais ni kuitukana nchi. Ni kuishushia heshima nchi. Baba au mama yako anapokosea kuna namna ya kusema naye na akaelewa.
NB: Si kila unachoshindwa kutafsiri kutoka kwa mtu itakuwa inamaana amekosea kwa kuwa kiongozi hawezi kuwa anaona kama wanavyoona wanaoongozwa. Nikiwa na maana ya kwamba kiongozi ni lazima atangulie miaka kadhaa mbele ndipo anaitwa kiongozi. Kuna vitu utakuja kuelewa baadaye kwamba vilikuwa ni vya muhimu kama kiongozi alivyona. (UKISOMA HABARI ZA FARAO NA NDOTO YA MIAKA SABA YA NJAA NA KILICHOTOKEA KWA WANANCHI KWA KUTOELEWA WALICHOAMBIWA KWA KUWA HABARI ZA NJAA ZILITOLEWA WAKATI WAPO KWENYE MAVUNO)
anyway, hata huo mfano ulioutoa, aliyeona si Farao, bali Yusufu ambaye aliletwa mbele ya Farao toka gerezani alikokuwa anatumikia kifungo.