Angalia wale viherehere wa kupost sana humo, ndio wanaoongoza kwa ubovu.Bwashee kwa hapa jf nimeona hivyo kwa picha tu , ebu toa listi yako mangi
Vizuri sana kijana wa kikatolikiBwashee nipo kazini ila chumba cha kubadilishia mavazi la muhimu nimejificha humu ninywe bia zangu tu😁