Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Mfano nafasi za kazi TRA zilikuwa 1097 walioitwa written interview jumla ni 13000 hiyo ni ratio ya 1:11. Swala la kufaulu written kwenda oral hajalishi Ratio muhimu ifikie lengo la wahitajika. Mfano nafasi kama ni 100 wakaitwa oral 200 haijalishi watenda tu kupambana huko huko. Nakuangalia ufaulu wa juu. Na kama wasailiwa hawatokidhi basibusahili utarudiwa upya kwa kutangaza upya nafasi za kazi.
 
Jipe muda kiongozi,Mambo mazuri hayahitaji presha na haraka
 

Hivi kazi zilishawahi kutangazwa tena baada ya utumishi kutopata mtu aliyequalify kwenye oral?
 
Wangekuwa washatangaza mkuu km kuna issue ya kurudia Oral kipindi hichi wako fasta sana, sifikirii km hiyo issue inawezakana yatazuka mengine mapya.
Kwahiyo na waliofanya oral tayari nao wanaweza kurudia?
 
Sidhani kama hili linawezekana. Maana nafasi zilikuwa 294, walioitwa Oral ni 465. Sasa kama wameshindwa kupata watu 294 kati ya 465 itakuwa ajabu. Labda kama wanaongeza nafasi.
 
Sema sidhani kama wanaweza rudia oral...nimaoni yangu tu.
Uwezekano wa kurudia interview haujawah kuwepo Kama watu wamefeli Kuna kitu kinaitwa re-advitesement ....kwa hyo mtaomba upya.

Na sifa mojawapo ya utumishi sio kujaza nafasi Ni kuchagua mtu mwenye vigezo ..ambapo ufaulu wowote lazma uanzia marks ya 50 ... ndugu zangu tuache stori za Instagram...



Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…